Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 142
I love this song NEEMA too.
Usipate taabu Neema
Uliyo yafanya sio mageni hapa duniani eehhh
NN inaonekana checkbob wewe pekee yako hapa!!!
Nasikiliza
Dirty Diana-Michael Jackson
She drives me crazy-Fine Young Canibals(Huu wimbo unanikumbusha movie ya Hitch wakati Alex amemkuta Cressida na njemba nyingine kwenye gari)
ninatizama dirishaani ooh
naona ni mvua yanyesha oooh....
hii ngoma ilipigwa na patrick balisidya enzi zile tunapanda ikalusi dah....ya kale dhahabu