Wimbo gani wa King Ali Kiba unaoukubali zaidi?

"Kama mapenzi ghorofa yamejaa kariakoo"
"Nina mapenzi tele kama kwetu kule"

Mistari haina vina ila ina maneno ya kueleweka sio kulazimisha vina mpaka unatukana.

Samahani Shemeji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alikiba - karim
Huu wimbo umekamilika kuanzia ujumbe, aina ya muziki(rhumba), melody, sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…