Wimbo huu una "nguvu" ya ajabu sana!

Wimbo huu una "nguvu" ya ajabu sana!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
1,679
Reaction score
2,123
Wimbo ufuatao una nguvu. Una nguvu inayoweza kubadili hali yako sasa hivi. Ni wimbo unaopaswa kuimbwa, kusikilizwa au kusomwa na kila mtu. Wimbo huu unakufaa wewe uliye na huzuni kwa sababu zifuatazo: Pesa zimeisha mfukoni mwako. Umeachwa na mke wako au mme wako. Unaumwa, umetibiwa, lakini huponi. Unasongwa na matatizo mengi. Hujapata mtoto tangu ufunge ndoa. Ulifaulu vizuri masomo yako, umetafuta kazi lakini hujapata. Una pesa tele, vyakula tele, nyumba na magari lakini huna furaha - wimbo huu pia unakufaa. Ni wimbo wa kiingereza lakini maneno yake ni rahisi kueleweka hata kwa walioishia darasa la nane!!

Verse 1: Money and Love
If your money is gone and your wallet is bare,
And your partner left you—oh, what a scare!
Don’t be sad; just laugh and do a merry dance,
Even when things go wrong, give happiness a chance!

Chorus: Rejoice Always
When you feel like boo-hoo, let your heart shout ha-ha,
Rejoice always in the Lord—His love will guide you far.

Verse 2: Feeling Sick and Hurting
If you feel a little sick or your body’s not so strong,
And troubles keep on coming all the day long,
Just smile and giggle at each little hiccup you face,
Laughter is free medicine—it puts a smile in its place!

Verse 3: Life’s Problems
No kids, no job, or a wedding in sight?
Life can be a circus, a goofy, clumsy fight!
When problems pile up like a silly parade,
Laugh at the chaos—watch your worries fade!

Verse 4: A Promise of Hope
So hold on tight, my friend, and keep your heart light,
Jesus will come soon to make everything right.
He’ll wipe away your tears and bring joy so pure—
Believe in Him always, and your smile will endure!

Umeuonaje wimbo huo? Si umekupa furaha ngaa kidogo? Nyimbo nzuri zina nguvu ya kututoa katika hali ya huzuni na kutuingiza katika hali ya furaha. Hivyo unapopatwa na mambo yanayokuhuzunisha, kumbuka kusikiliza nyimbo zinazokupa habari njema: gospel songs/music.
 
Mwandishi wa wimbo ni nani
 
Kwanza Ubarikiwe sanaaa! Mungu akubariki Tena na Tena!

Kuna wakati nikiwa kidati Cha pili, Parane High School.

Pastor Mussa Nzumbi aliitisha Mfungo na maombi ... Haikuwa lazima! Ilikuwa kwa kupenda tu!

Nilishiriki! Katika Mfungo ule ilikuwa kipindi wenzetu wanaenda kula lunch, sisi tunapanda Mlimani kuomba na Pastor!

Sijui ilikuwa ni maombi na mfungo wa siku ya ngapi! Ila Pastor alituimbisha wimbo!

Nilitokea kuupenda sana! These two years nimepita na naendelea kupit katika Mapito magumu sana!

Kwa miaka miwili nimejaribu kuumbuka huo wimbo lakini sijafanikiwa ... Ni wimbo wa kufarijiri na kutia moyo!

Ila baada ya kusoma huu uzi! Nilivyo malizia tu huwezi amini huo wimbo ukanijiaaa

Haraka Nikaenda YouTube na nimeupata 😂
 
Semaji samaleko, Leo unashusha comment zenye vitu😂👏
 
Back
Top Bottom