Wimbo huu una "nguvu" ya ajabu sana!

Kidogo unafanana na wimbo wa Upendo Nkone (Usifurahie wewe adui yangu)
 
 
Fedha na dhahabu ni Mali ya bwana.... Amen

Leteni zaka kamili ghalani ili chakula kiwemo kwenye nyumba yangu asema bwana

Mkanijaribu kwa njia hiyo, muone kama sintowafungulia madirisha ya mbinguni, kipimo Cha kujaa jaa kusukwa hata kushindiliwa.... Amen
 
Naweza kuja PM ? Ili niletee Ajenda!
Kama ajenda zote hupendi zijulikane, zitaje tu kwa ujumla, bila kuzielezea kwa undani.
Sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…