MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #81
Aksante Funza hapa nimepata sababu mojawapounajua nadhani uwezo wa kusamehe wa mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume na pia wanawake wameumbwa na roho ya uvumilivu kuliko wanaume ndio maana wanaweza kubeba mimba mpaka kuzaa na kumlea mtoto kwa moyo wa upendo na kujinyima chochote ili mtoto akue ile ni roho ya kipekee sana
Maty kama kweli wewe ni mwanamke na una msimamo huu, hongera sana kwa kuwa muelewa wa hili!!! lakini nahisi wewe ni mwanaume umeandika hivi!
Aksante Funza hapa nimepata sababu mojawapo
Wanawake ni wavumilivu na wenye mioyo ya msamaha ya aina ya pekee....... ni viumbe vya aina yake (nahisi kama some men are taking advantages kwa hizi blessed characters)
go buy the albamKuna Ule mwingine unaitwa ''Chunga Acha Tamaa''.........mzuri sana mwenye mashairi yake atutumie
MATY mama naomba nkubaliane na wewe yote bt apana kuna wanaume wazuri wewe acha yan ni moja kwa moja yan atok wala hana kaz za nje ni hawa wadudu watu ndo wanajifnya kutoa excuze kwamba ni necha ..necha necha gan?ahh apo ni temba tu akuna necha wala nini....ahh u ni ushetan tu kuna wengi tu waaminifu mama yangu mpk waona raha yan dahh acha tu
usikubali kuingzwa kwenye mkumbo uo wa kutoka nje NI NECHA KWA WANAUME...kwa justfctn ip?ahh apana.
mbona we utok?assume aujaolewa bado na hauna mtoto wala nin lakn jamaa anapga nje daily apo napo inakaanje?kwan wewe HAUJAWAI KUMPENDA AU KUMTAMAN KIJANA MWNGNE UKO NJE?mbona haukumkubalia?y?Y yeye ashndwe kujimudu na game lilivyo ni mademu wangekuwa wanaongoza kwa kaz za nje cz wao ndo wanatongozwa na vishawish viiiiiiiiiiiiing wanapata iweje ajimudu kusema noooooo na wewe njemba daily mitaani kutafuta c.h.u.p mpya?kwa gharama zote na muda wote?
ushedwani tu..ahh yan nimekasirika maty ngoja tu nkanywe chai ebu njooo uku tule mwaya
Mimi ni mwanamke na nimefanya uchunguzi wangu humu JF na kugundua asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanatetea hilo la kutokuwa na mwanamke mmoja. Na hawa hawa wanaume wa humu JF ndio waume/boyfriend zetu sema tu hatujui mtu akijagundua kuwa the finest ndio baba chacha wake halafu anayoongea humu hayo anaweza kujinyonga, na sio kwamba hafanyi ila hajionyeshi kwa hiyo wakina dada tuishukuru hii JF kwani watu wanaongea mambo halisi yanayotokea katika jamii yetu. Mimi wangu awe nao saba au kumi yeye tu mradi atimize mahitaji ya familia asipotimiza hili ndio tutagombana lakini infidelity afanye tu kwani naamini huko nje huwa wanaenda na wanakosa wanachotafuta na kubaki kujilaumu mimi ninachobaki ni kuomba mungu tu akishamaliza mizunguko yake arudi salama na naamini ipo siku ataacha baada ya kuzunguka sana.
hata wanaume kupenda penda ovyo nayo ni biology unajua hata yale maumbile yalivyoumbwa ni tofauti kwa hiyo hata jinsi ya kupata hamu ni tofauti mwanaume anavutiwa kwa kuona tu wakati m/.mke ni mpk achokozwe ndio mzux unapandaAksante Funza hapa nimepata sababu mojawapo
Wanawake ni wavumilivu na wenye mioyo ya msamaha ya aina ya pekee....... ni viumbe vya aina yake (nahisi kama some men are taking advantages kwa hizi blessed characters)
Aspirin FUNZA sio tusi ni jina langu la kubatizwa kabisaHvi kanuni mpya za JF zinasemaje pale unapomwita binadamu mwenzio FUNZA? Manake wengine wamewaita wenzao samaki wakala ban!
MODS........... Hebu peleka huyu mjukuu kule kwa Teamo!
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::dance::dance::dance::dance::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::jaw::jaw::jaw::jaw:Aspirin FUNZA sio tusi ni jina langu la kubatizwa kabisa
Aspirin FUNZA sio tusi ni jina langu la kubatizwa kabisa
Manake SAMAKI kampeleka mtu sero!Hata kama umepewa na paroko au monsinyor.....
Ukienda Songea si kuna mbuzi, tembo, nk? Ila hapa JF hayo ni matusi....
:ban: funzadume!
hahahaaaa!~ amelala kwa mlei moja hivi.Habari yako hivi umelala kwenye kigango au gesti mbona umechoka kiasi hicho
Na mwanga wa milele umwangazieNa ubarikiwe Maty,kwakuwa na fikira na mtizamo chanya kama huu!wako wapi wenzio nao waige mfano kama wako!mpo wachache sana mama!Hope mume/BF wako atakuwa anapumzika kwa amani kwa hizo fikra ulizo nazo! big up Maty
hahahaaaa!~ amelala kwa mlei moja hivi.
Na mwanga wa milele umwangazie
Na ubarikiwe Maty,kwakuwa na fikira na mtizamo chanya kama huu!wako wapi wenzio nao waige mfano kama wako!mpo wachache sana mama!Hope mume/BF wako atakuwa anapumzika kwa amani kwa hizo fikra ulizo nazo! big up Maty
there u r! kumbe unajuae eeh! kamata hii:A S-rose: halafu, hivi bado unakaa pale nanihii?Humu JF tunapunguza stess na kupata mafunzo pia, me hata ctaki kujitia presha kwa ajili ya mtu kama alinipenda atazunguka na ataendelea kunipenda tu
Babu unanichongea!!Hvi kanuni mpya za JF zinasemaje pale unapomwita binadamu mwenzio FUNZA? Manake wengine wamewaita wenzao samaki wakala ban!
MODS........... Hebu peleka huyu mjukuu kule kwa Teamo!
Mimi ni mwanamke na nimefanya uchunguzi wangu humu JF na kugundua asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanatetea hilo la kutokuwa na mwanamke mmoja. Na hawa hawa wanaume wa humu JF ndio waume/boyfriend zetu sema tu hatujui mtu akijagundua kuwa the finest ndio baba chacha wake halafu anayoongea humu hayo anaweza kujinyonga, na sio kwamba hafanyi ila hajionyeshi kwa hiyo wakina dada tuishukuru hii JF kwani watu wanaongea mambo halisi yanayotokea katika jamii yetu. Mimi wangu awe nao saba au kumi yeye tu mradi atimize mahitaji ya familia asipotimiza hili ndio tutagombana lakini infidelity afanye tu kwani naamini huko nje huwa wanaenda na wanakosa wanachotafuta na kubaki kujilaumu mimi ninachobaki ni kuomba mungu tu akishamaliza mizunguko yake arudi salama na naamini ipo siku ataacha baada ya kuzunguka sana.
hii haswa ndio pointi dada yangu......... unafikiri wanawake tu walafi kiasi cha kuwa wachoyo kiasi hiki?? Hapana tunapohofia ni hapo tu!! Ingekuwa mtu akitoka kwenda kwenye Infii zake basi condomization inatake place outomatically yaani ghafla tu gamba linatokea wala tusingejali kabisa!!Maty watatuua hawa akiwa nao saba watano wanatumia kinga mbili wanaaminiana baada ya kukaa katika mahusiano kwa muda wa mwezi au miwili mungu saidia