Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

Hii ni funga mwaka!
Mambo yote ni kadogo sasa hivi...

Ila Kiba anajua jamani! Humo ndani ya Kadogo kacheza na sauti hadi nimeshangaa!
Club banger ya kibabe
Mmmh
 
Video yote kapigilia nguo aina mbili tu... Video haivutii kutazama angalau audio,
povu ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…