Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Staa wa Bongo Fleva Nandy ameeleza kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya msanii anayejiita Mr Tonge Nyama kudai kuwa ametumiwa jina lake bila ridhaa kwenye kazi ya muziki ya Nandy na kuishusha YouTube

Mr Tonge Nyama anadaiwa kutaka alipwe kiasi cha shilingi milioni 200 za Kitanzania kwa kile alichodai ni ukiukwaji wa haki ya matumizi ya jina lake. Kupitia ukurasa wake, Nandy ameandika kuwa,

"Bro naandika kwa uchungu sana, nalia kwa hasira sana. Nilikaa kimya ili ushauriane na lawyer wako kama mko sahihi sababu mlinipa barua nikiwa nimeweka video tu ya watoto wanakula mkasema nimetumia jina lake kwa faida zangu bila kujua ni wimbo! Wimbo umetoka nikajua mtakaa chini muelewe kuwa sikuwa na nia ya ilo mnalosema jina lenu bali nimefanya sanaa kama watu wengine. Kumbe hamkutosheka? Kaka mmenda kufuta wimbo wangu YouTube? Investment yangu yote mnataaka izime sababu unaitwa Tonge Nyama?"

"Mmenikosea. Nilitegemea wewe ni kijana unatafuta basi kila mtu atafute kwa amani ila hukutaka hivyo. Umekuwa chanzo cha maumivu. Hii siwezi kuvumilia... we are doing too much, we are investing too much, sijui kama hata unaelewa daah!"

1754029021448.png

1754029039579.png

1754029126380.png
 
View attachment 3426782

View attachment 3426783

View attachment 3426786
Kama ni hii miziki yao ya kuhamasisha ngono na umalaya wacha mpigane vitasa tu.
 
One mistake one Goal. Bill Nass atamsaidia mkewe kulipia hiyo fidia. Kwa ukwasi walio nao hiyo ni pesa ndogo tu mbona
 
Tonge nyama si maneno tuu ya kawaida ya kiswahili?.
🤣🤣🤣 Jamaa anasema Ameli register so ana hati miliki nalo

Ni sawa na Neno la Hakuna matata katika movie ya mufasa licha ya kuwa linatokea Africa mashariki lakini nasikia Jamaa wa Disney wali likatia hati miliki so ukilitumia kiholela wanaweza kukushtaki

Ngoja mvua inyeshe tuone kunapo vuja
 
Kw
Staa wa Bongo Fleva Nandy ameeleza kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya msanii anayejiita Mr Tonge Nyama kudai kuwa ametumiwa jina lake bila ridhaa kwenye kazi ya muziki ya Nandy na kuishusha YouTube

Mr Tonge Nyama anadaiwa kutaka alipwe kiasi cha shilingi milioni 200 za Kitanzania kwa kile alichodai ni ukiukwaji wa haki ya matumizi ya jina lake. Kupitia ukurasa wake, Nandy ameandika kuwa,

"Bro naandika kwa uchungu sana, nalia kwa hasira sana. Nilikaa kimya ili ushauriane na lawyer wako kama mko sahihi sababu mlinipa barua nikiwa nimeweka video tu ya watoto wanakula mkasema nimetumia jina lake kwa faida zangu bila kujua ni wimbo! Wimbo umetoka nikajua mtakaa chini muelewe kuwa sikuwa na nia ya ilo mnalosema jina lenu bali nimefanya sanaa kama watu wengine. Kumbe hamkutosheka? Kaka mmenda kufuta wimbo wangu YouTube? Investment yangu yote mnataaka izime sababu unaitwa Tonge Nyama?"

"Mmenikosea. Nilitegemea wewe ni kijana unatafuta basi kila mtu atafute kwa amani ila hukutaka hivyo. Umekuwa chanzo cha maumivu. Hii siwezi kuvumilia... we are doing too much, we are investing too much, sijui kama hata unaelewa daah!"

View attachment 3426782

View attachment 3426783

View attachment 3426786 hio the phrase tonge nyama kuna kina ana Hati miliki yake? Ningekua mm ningependa court kuomba vidia kwa hasara alionisababushia
 
Back
Top Bottom