Huyo kaka, kwao n moro mose kamana, dah. Sa s alipe tu hzo hela ila nandy, naye.Ndio Nan huyo huko daslam
Anaimba nyimbo za dini hata za kawiadaEti Tonge nyama. 😁Ni muimbaji wa nyimbo za kiasili au
Nmeshangazwa na hiliTonge nyama si maneno tuu ya kawaida ya kiswahili?.
YouTube ukitoa claim wanashusha tu, then aliyeshushiwa anafile appeal ako file appeal wanaipitia kisha wanatuma email kwa aliyeshtaki kuwa jamaa ame appeal kwa hiyo wanamuambia cha kufanya ni kumpeleka kwenye mahakama za uraini ndani ya nafikiri wanakupa kati ya wiki 2 unatumiwa details za mshukiwa wako, jina lake na anapoishi hata kama yupo nje ya nchi. Kinyume na hapo wanairudisha. YouTube hawana namna ya kuverify madai ya mtu kama ni kweli kama kulikuwa na makubaliano kabla ya kazi yake kutumiwa au amelipwa ama ameibiwa kweli, so ndio maana appeal zipo na zina nguvuWewe unayejua hatimiliki ilivyo hebu tuambie!? Kama hana mashiko why YouTube wakubali kuushusha huo wimbo ??
Wanasema kalilipia 😃😃Nmeshangazwa na hili
Kwahiyo mimi nikisema nakula tonge nyama nakosea?Wanasema kalilipia 😃😃
Eti utadaiwa haki milikiKwahiyo mimi nikisema nakula tonge nyama nakosea?
tonge nyama tonge nyama tonge nyama, haya anidaiEti utadaiwa haki miliki
Hapo MX CARTER hausiku kwel