Watu wananuka shida mjomba yapaswa kua makini usije kuingizwa kingi ..nmetongoza jimama saa 4 asubuh , na hatjawahi kudinyana , saa 8 mchana natumiwa lipanamba nitume hela ya kununulia kuku mzima 🚮Bongo nyoso Hilo neno mbona ni common na siku zote utamkwa kwamba uyo bonge yeye ndo ana hati miliki ya maneno ayo Tz!?
bongo ya sasa sio ya mwaka 47......Utalia lia lia eee mambo ya daresalaam..!!
Ooh hapo sawa...watu wako serious kweli kweli🤣🤣🤣 Jamaa anasema Ameli register so ana hati miliki nalo
Ni sawa na Neno la Hakuna matata katika movie ya mufasa licha ya kuwa linatokea Africa mashariki lakini nasikia Jamaa wa Disney wali likatia hati miliki so ukilitumia kiholela wanaweza kukushtaki
Ngoja mvua inyeshe tuone kunapo vuja
Kama wewe ulivyo siriasOoh hapo sawa...watu wako serious kweli kweli
😄😄😄😄hili bifu hiliKama wewe ulivyo sirias
Kuisha mpka reform ifanyike😄😄😄😄hili bifu hili
😀😀😀 nikikuona ndukiiiii🏃♀️🏃♀️🏃♀️Kuisha mpka reform ifanyike
Wewe tipwatipwa mbio umezitolea wap😀😀😀 nikikuona ndukiiiii🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mi na utipwa wapi na wapi?? Mimi mwana mazoezi nipo kama katoto ka afu mbili...sipendi unene...so mbio zangu sio za nchi hii...Wewe tipwatipwa mbio umezitolea wap
Ila darisalamu huko kuna mamboSiyo neno hilo, ni jina la mtu mwenye hatimiliki nalo hapa Daslama
Sawa mwana matizi dk 2 hoiMi na utipwa wapi na wapi?? Mimi mwana mazoezi nipo kama katoto ka afu mbili...sipendi unene...so mbio zangu sio za nchi hii...
Ww si mbishi? KwaheriSawa mwana matizi dk 2 hoi
🤣🤣🤣 Jamaa anasema Ameli register so ana hati miliki nalo
Ni sawa na Neno la Hakuna matata katika movie ya mufasa licha ya kuwa linatokea Africa mashariki lakini nasikia Jamaa wa Disney wali likatia hati miliki so ukilitumia kiholela wanaweza kukushtaki
Ngoja mvua inyeshe tuone kunapo vuja
Haina mashiko, Nandy akikata rufaa atashinda kwa huyo jamaa mtafuta kikiAsimlaumu bonge kiivo, ikitokea jina nandy limetumika kwenye hitsong flan Bila negotiation hato paza sauti.
Wakae chini wafanye biashara bonge anataka mate kido tu.
Mwenyewe ndo namjua leoEti Tonge nyama. 😁Ni muimbaji wa nyimbo za kiasili au