Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

Bongo nyoso Hilo neno mbona ni common na siku zote utamkwa kwamba uyo bonge yeye ndo ana hati miliki ya maneno ayo Tz!?
 
Watu wa daslama wanaishi kimachale na ujanja mwingi plus mixer uhuni umafia sana eti mtu anaenda ku hati miliki.jina lake la utani ili siku mtu anaimba nyimbo akamshtaki alipwe hela....nandy na yeye angemfanyia na yeye uhuni..kabla ya kutoa nyimbo angebadilisha neno badala.ya tongenyama angeita nyamatongee ..huyo kapuku wa mjini tu anataka kupata hela za Bure..sioni milioni 200 ikitoka hapo ..
 
Bongo nyoso Hilo neno mbona ni common na siku zote utamkwa kwamba uyo bonge yeye ndo ana hati miliki ya maneno ayo Tz!?
Watu wananuka shida mjomba yapaswa kua makini usije kuingizwa kingi ..nmetongoza jimama saa 4 asubuh , na hatjawahi kudinyana , saa 8 mchana natumiwa lipanamba nitume hela ya kununulia kuku mzima 🚮
 
Ooh hapo sawa...watu wako serious kweli kweli
 
Asimlaumu bonge kiivo, ikitokea jina nandy limetumika kwenye hitsong flan Bila negotiation hato paza sauti.
Wakae chini wafanye biashara bonge anataka mate kido tu.
Haina mashiko, Nandy akikata rufaa atashinda kwa huyo jamaa mtafuta kiki
Tonge nyama ni neno la kiswahili na mtu kulitaja katika wimbo haimaanishi amekiuka haki miliki, haki miliki haipo hivyo
Ni kama mtu ujiite embe dodo ambalo ni neno la kiswahili tangu kitambo kisha mtu alitumie kwenye mashairi ya wimbo utake kulipwa fidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…