Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

Wewe unayejua hatimiliki ilivyo hebu tuambie!? Kama hana mashiko why YouTube wakubali kuushusha huo wimbo ??
 
Si unaona sasa mi nishatoa.onyo hapa kabisa an mpaka wakome an mi jina langu ukitumia hata weww ni faini tu..

Sema wewe sio faini ya pesa 🫵🫵🤗🤗😋
Hiyo onyo haisaidii kitu mtu akiamua lake huwezi kumzuia na vile hatujuani wala kuonana humu ndiyo kabisaaa
 
Nadhani alikuwa anataka yeye apewe role katika hiyo video ili awe character. Sasa Nandy ametumia theme yake ila yeye hakushirikishwa ndio maana ame mind ila nadhani nyuma ya pazia kuna maadui wa Nandy wametumia hiyo opportunity kumuumiza.

Kwenye haya maisha ya sasa usiwaonyeshe watu bakery unapochukua mikate yako mizuri kwa bei nzuri,hata ukiwagawia na wao watata wajue ipo wapi waje kuichoma ukose na nyote mkose.
 
Inasuluhishwa kibiashara hiyo, kwa kulipa kiasi fulani cha fedha kwa makubaliano ya pande mbili.
 
Dah aise...
 
Ndio maana jamaa akapandisha uzi kua kila mtu ni tapeli, tapeli ni mcheza na fursa ukizubaa uaingizwa mjini 😂😂.

Tonge nyama ala tonge nyama toka kwa tonge nyama ya Nandy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…