Uchaguzi 2020 Wimbo: Tumchague John Magufuli mtu wa nyumbani

Uchaguzi 2020 Wimbo: Tumchague John Magufuli mtu wa nyumbani

Hahah aisee wasukuma hawanaga noma na mtu,ukiona mpk wanakukatalia kitu hadharani jua hapo wamemaindi kishenzi.

Jamaa leo atakua na mood mbaya sana,watakao kua mbele yake watakua halali yake leo.
Anaweza tapika muda wowote
 
Ngoshaz mnaniabisha. Yaani kama vile mnabishana maana ya huu wimbo. Hem atokee mmoja autafsiri huu wimbo vizuri. Au na nyie mshasahau kisukuma.
 
Ukabila at it's best. Tume iko kimyaaaaa......
Shida ni kwamba Chadema hawezi kukemea ukabila maana ndo mizizi yake iliko, na ACT wameamua kubeba mikoba ya udini ya CUF. Kilichobaki ni CHAUMMA tu.

Kura zote kwa Raisi anayesubiri kuapishwa, Hashim Rungwe ✊🏿
 
hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Mkuu ni kweli kayasema hayo? Wengine hatujaangalia huo mkutano. Kama kaongea hayo maneno Basi Kuna tatizo mahala Fulani.
 
Hii nchi tunakoelekea ni kubaya zaidi..

Kama tutaendelea kumchekea huyu mhutu...
 
Kutumia Kisukuma si shida sana tatizo kubwa ni kutoweka lyrics za kutafsiri zile za kisukuma. Wangeimba Kisukuma na baadaye wangeimba kwa Kiswahili wakitafsiri walichoimba kwa Kisukuma lakini huu wimbo mwanzo mwisho ni Kisukuma ambapo mtu anaweza kutafsiri kuwa ulitungwa/ was meant kwa ajili ya Wasukuma. Nimeweza kupata tafsiri kwa msukuma fulani akasema wanaimba kuwa "Tumchague Magufuli wa kwetu/nyumbani" Kama ni kweli utakuwa unahamasisha ukabila.
 
N wimbo tu , hakuna ukabila wala nini Lissu kajichanganya mwenyewe kwa Magufuli ni ngoma nzito kumshinda Magufuli , mtasingizia na ukabila bure, watu wengi wana mkubali lissu lakini likija swala la lissu vs Magufuli wana kuambia Lissu asubili kwanza , sijui Magufuli kawalisha nini watanzania
 
Sikiliza Wimbo vzr wewe


Kama unaelewa hiyo kabila!!

Kweli kukaya ni Nyumbani lkn dhima ya mtunzi inamaana nyingi sana
Huu wimbo unaweza kuimbwa Songea? Mnajitoa ufahamu mkidhani wote hatuna akili? Mara ngapi humu mmekuja na hesabu ya kura toka mikoa inayoongea Kisukuma? Au mnadhani hatujui walioimba ni Wasukuma na wameimba Kisukuma kwa ajili ya Msukuma mwenzao?
 
Mkuu ni kweli kayasema hayo? Wengine hatujaangalia huo mkutano. Kama kaongea hayo maneno Basi Kuna tatizo mahala Fulani.

mkuu ni kweli nimemsikia anasema hivo,tena ameongea mengine zaidi ya hayo ,pitia page ya Millard ayo uone zaidi
 
hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Jamaa mnafiki.... Anadai kuwa maendeleo hayana chama wakati anafanya tofauti.

Katiba ya Nchi inatakiwa ibadilishwe kuzipa madaraka local government kujifanyi mambo yao badala ya kutegemea serikali kuu. Mfumo wa sasa unam fanya jamaa afikiri pesa ni zake na anaitumia kwa jinsi anavyojua yeye.
 
Jamaa mnafiki.... Anadai kuwa maendeleo hayana chama wakati anafanya tofauti.

Katiba ya Nchi inatakiwa ibadilishwe kuzipa madaraka local government kujifanyi mambo yao badala ya kutegemea serikali kuu. Mfumo wa sasa unam fanya jamaa afikiri pesa ni zake na anaitumia kwa jinsi anavyojua yeye.

upo sahihi,Bunda amewambia aliwanyima balabala na taa za mitaani kwa sababu walimchagua Bulaya hivo aliamua awaluke awape majirani zao maendeleo
 
Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari

Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Bila kuwa mkabila au mdini utawala wa maelekezo unakua mgumu.
Utawala wa ukabila au udini Mara nyingi unatawaliwa na ubabe ,fitina ,kuzushiana ,kufichiana madhambi, mzunguko mdogo wa pesa na ajira mana kabila moja au dini moja ndiyo inayochota pesa zote kwenye ajira,tenda madaraka n.k.

Ukabila sio jambo la kufurahisha .
Litawaumiza hata CCM wenyewe kama wanaona ufahari kutumia ukabila na ukanda kujikita madarakani.
Tusifanye tena makosa kuweka madarakani kabila kuuuubwaa lenye nguvu ya kiuchumi,kielimu na hata ,rasilimali watu.
Ukabila awamu hii umepanda chati sana.
Wakuuondoa ukabila ni wale waliouweka !!
 
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).

[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]

[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]
Nyerere alishayaona hayo, mgombea akitishiwa hoja hikimbilia Udini, ukabila, ukanda nk
 
Back
Top Bottom