Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Kwani kuna wagombea kutoka nje ya nchi?Kumbuka unajibisha na mbobezi wa kiswahili nasema wanamanisha wa Nyumbani Tanzania na si vinginevyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna wagombea kutoka nje ya nchi?Kumbuka unajibisha na mbobezi wa kiswahili nasema wanamanisha wa Nyumbani Tanzania na si vinginevyo
Anaweza tapika muda wowoteHahah aisee wasukuma hawanaga noma na mtu,ukiona mpk wanakukatalia kitu hadharani jua hapo wamemaindi kishenzi.
Jamaa leo atakua na mood mbaya sana,watakao kua mbele yake watakua halali yake leo.
Tutafsirie siyo wote wasukuma humu jf.Nimekuwekea hapo juu huo Wimbo usikilize ukiwa umetuliza akili!!! Hauna maana ile unayofikilia!
Shida ni kwamba Chadema hawezi kukemea ukabila maana ndo mizizi yake iliko, na ACT wameamua kubeba mikoba ya udini ya CUF. Kilichobaki ni CHAUMMA tu.Ukabila at it's best. Tume iko kimyaaaaa......
Mkuu ni kweli kayasema hayo? Wengine hatujaangalia huo mkutano. Kama kaongea hayo maneno Basi Kuna tatizo mahala Fulani.hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Huu wimbo unaweza kuimbwa Songea? Mnajitoa ufahamu mkidhani wote hatuna akili? Mara ngapi humu mmekuja na hesabu ya kura toka mikoa inayoongea Kisukuma? Au mnadhani hatujui walioimba ni Wasukuma na wameimba Kisukuma kwa ajili ya Msukuma mwenzao?Sikiliza Wimbo vzr wewe
Kama unaelewa hiyo kabila!!
Kweli kukaya ni Nyumbani lkn dhima ya mtunzi inamaana nyingi sana
UHAMSHO.....UAMSHOSoon achelewi kuwatoa masheik wa uhamsho ili kuipooza pemba.
Kahaidi ajira wa ualimu, zichukueni kura mnyimeni
Mambo hayo. Interahamwe in offing. Uwiiiii!Kawimbo katamu Sana kale
Mkuu ni kweli kayasema hayo? Wengine hatujaangalia huo mkutano. Kama kaongea hayo maneno Basi Kuna tatizo mahala Fulani.
Jamaa mnafiki.... Anadai kuwa maendeleo hayana chama wakati anafanya tofauti.hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Jamaa mnafiki.... Anadai kuwa maendeleo hayana chama wakati anafanya tofauti.
Katiba ya Nchi inatakiwa ibadilishwe kuzipa madaraka local government kujifanyi mambo yao badala ya kutegemea serikali kuu. Mfumo wa sasa unam fanya jamaa afikiri pesa ni zake na anaitumia kwa jinsi anavyojua yeye.
Bila kuwa mkabila au mdini utawala wa maelekezo unakua mgumu.Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari
Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Nyerere alishayaona hayo, mgombea akitishiwa hoja hikimbilia Udini, ukabila, ukanda nkMgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).
[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]
[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]