Uchaguzi 2020 Wimbo: Tumchague John Magufuli mtu wa nyumbani

Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).

[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]

[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]

Hahahah kamanda huo wimbo hauna maana hiyo hahahaha usikilize vyema hahaha

Hata hivyo hakuna shida si ni nyie huwa mnawaita wasukuma washamba? Acha sasa wawa nyooshe hahahaha
 
Tunaomba kila atakapopita kwa kila kabila hizo nyimbo za kikabila zipigwe, vinginevyo hii inaonesha alivyo mkabila na anavyowadharau watu wengine na kuona kuwa walio, na watakaompigiakura ni wasukuma
 
Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari

Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Tena sana Magufuli anatumia lugha ya kabila lake kupiga kampeni.

Anahubiri ubaguzi wa kiitikadi kwenye kampeni.

Hii siyo sawa hata kidogo mkumbusheni mgombea wenu kuwa ukabila haufai
 
Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari

Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Hivi watangulizi wake hawakuwa na makabila yao?? Vp aliwahi kumsikia Baba wa Taifa akipiga Kizanaki/Kikurya/Kijita au Mkapa akipiga Kimakonde/Kimakua?? Halafu kuna mijitu humu inaunga mkono ukabila. Kumbe tuliongozwa kwa miaka mitano na mtu Mkabila. Sasa watu wa mikoa mingine tuamkeni.
 
hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Na asipochaguliwa/kutangazwa yeye??
 
Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari

Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Aliwahi kusema Mwalimu ( baada ya kuambiwa na mama mmoja kuwa wao wanatambuana kwa makabila yao, lakini Watanzania hawawaelewi kabisa) "Mama hayo yalikuwa zamani. Sasa hivi mambo yamebadilika. Nchi sasa inaanza kunuka ukabila"
 
Hahahah kamanda huo wimbo hauna maana hiyo hahahaha usikilize vyema hahaha

Hata hivyo hakuna shida si ni nyie huwa mnawaita wasukuma washamba? Acha sasa wawa nyooshe hahahaha
Mimi mwenyewe msukuma na wasukuma hatuko kwa ajiri ya kumnyoosha mtu. Maana ya huo wimbo sio mjadala make iko wazi labda kama hujui kisukuma
 
Kenya walianza hivi hivi,, sikio la kufa,Tanzania ya Nyerere imeingamizwa na CCM ya Magufuli. tume inalo la kujibu, ni mda tu tutapasuana matumbo tulane maini wenyewe kwa wenyewe, Uchaguzi huu Tanganyika haitabaki salama.
 
Huyu muhutu ana associate na wasukuma kuwafundisha ukabila.

Mzee maji shingoni , ameona njia sahihi na ya mwisho ni ukabila.

Cc gwajiboy
Anaposalimia kizaramo, kibondei, kimakuha, kimakuwa/mwera, kiyao na kiluguru, kinyaturu, kichagga na lugha nyingine adhimu za makabila ya hapa nyumbani mbona haumuhusishi na ukabila!? Au " ni Yeye" aliposalimia kilugha cha kwao Singida, masikioni uliweka pamba...!? Vipi nyie!?
 
Kipindi Cha kampeni huwezi kuanza kuamsha hisia za ukabila labda Kama unataka mgombea wako apate kura za lake zone' tu na si Tanzania.
 
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).

[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]

[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]

Huo ni ukabila kabisa.
 
Huo wimbo wauwache wasiendelee nao Mimi ni msukuma asilia naelewa maana yake haileti picha nzuri kwenye uchaguzi hata hapa nilipo watu wapo disappointed kutuonyesha wasukuma sisi niwakabila haipendi kabisa.
 
Back
Top Bottom