Ila avatar yako...Sikiliza Wimbo vzr wewe
Kama unaelewa hiyo kabila!!
Kweli kukaya ni Nyumbani lkn dhima ya mtunzi inamaana nyingi sana
Basi tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila avatar yako...Sikiliza Wimbo vzr wewe
Kama unaelewa hiyo kabila!!
Kweli kukaya ni Nyumbani lkn dhima ya mtunzi inamaana nyingi sana
Wapi hapo mkuu,, acha kupotosha kama vipi weka ushahidi hapa!amezomewa muda si mrefu,kuna kamba amewapiga wananchi wakaanza kuzomea mpaka aka mind
Wapi hapo mkuu,, acha kupotosha kama vipi weka ushahidi hapa!
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).
[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]
[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]

Tena sana Magufuli anatumia lugha ya kabila lake kupiga kampeni.Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari
Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Hivi watangulizi wake hawakuwa na makabila yao?? Vp aliwahi kumsikia Baba wa Taifa akipiga Kizanaki/Kikurya/Kijita au Mkapa akipiga Kimakonde/Kimakua?? Halafu kuna mijitu humu inaunga mkono ukabila. Kumbe tuliongozwa kwa miaka mitano na mtu Mkabila. Sasa watu wa mikoa mingine tuamkeni.Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari
Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Na asipochaguliwa/kutangazwa yeye??hapana,alikua anawambia wagombea aliiwachagua ni wenyeji wa hapo,wazaliwa wa hapo hivo wawachague,wakazomea akatishia kuondoka,akapandwa na hasira akasema wasipomchagulia wagombea wa Ccm wasimuulize kuhusu maendeleo kwa sababu hatofanya mradi wowote wa maendeleo hapo
Aliwahi kusema Mwalimu ( baada ya kuambiwa na mama mmoja kuwa wao wanatambuana kwa makabila yao, lakini Watanzania hawawaelewi kabisa) "Mama hayo yalikuwa zamani. Sasa hivi mambo yamebadilika. Nchi sasa inaanza kunuka ukabila"Tanzania tunawacheka Kenya kuwa wanachaguana kikabila Ila na sisi tunaelekea Huko Kama bado hatujaelekea tayari
Kabudi alienda Kenya kuwapiga lecture eti waache ukabila kumbe nyumbani kwake nako Kunachipua ukabila kwa Kasi
Mimi mwenyewe msukuma na wasukuma hatuko kwa ajiri ya kumnyoosha mtu. Maana ya huo wimbo sio mjadala make iko wazi labda kama hujui kisukumaHahahah kamanda huo wimbo hauna maana hiyo hahahaha usikilize vyema hahaha
Hata hivyo hakuna shida si ni nyie huwa mnawaita wasukuma washamba? Acha sasa wawa nyooshe hahahaha
Na asipochaguliwa/kutangazwa yeye??
Anaposalimia kizaramo, kibondei, kimakuha, kimakuwa/mwera, kiyao na kiluguru, kinyaturu, kichagga na lugha nyingine adhimu za makabila ya hapa nyumbani mbona haumuhusishi na ukabila!? Au " ni Yeye" aliposalimia kilugha cha kwao Singida, masikioni uliweka pamba...!? Vipi nyie!?Huyu muhutu ana associate na wasukuma kuwafundisha ukabila.
Mzee maji shingoni , ameona njia sahihi na ya mwisho ni ukabila.
Cc gwajiboy
Kipindi Cha kampeni huwezi kuanza kuamsha hisia za ukabila labda Kama unataka mgombea wako apate kura za lake zone' tu na si Tanzania.Anaposalimia kizaramo, kibondei, kimakuha, kimakuwa/mwera, kiyao na kiluguru, kinyaturu, kichagga na lugha nyingine adhimu za makabila ya hapa nyumbani mbona haumuhusishi na ukabila!? Au " ni Yeye" aliposalimia kilugha cha kwao Singida, masikioni uliweka pamba...!? Vipi nyie!?
Anatumia ukabila kwa faida za kisiasa, japo kiuhalisia hata usukuma hana. Ni kabila aliloamua kujipa.Hahah Aisee hii ni mpya mzee baba,naona mpk wasukuma wamecharuka kuletewa watu wasiowajua.
Na jamaa hachelewi kuwasusa kweli kwny maendeleo maana kwa visasi yuko njema.
Mgombea John Magufuli akiwa amesimama pale nyashimo jimboni busega asubuhi hii, Kuna kawimbo kalikuwa kanasikika kutoka kwenye gari la matangazo la mgombea, kanyimbo hako ni ka kisukuma kanahamasisha apigiwe kura John Pombe wa nyumbani (wamkaya).
[emoji444][emoji444]Tukang'wine kura, wamkaya..
John Pombe, tuchagulagi x2[emoji445][emoji445]
[emoji444]John Pombe, wamkaya..
Bakema na bagosha, tuchagulagi[emoji444]
Alikwambia hivyo mtunzi ?Sikiliza Wimbo vzr wewe
Kama unaelewa hiyo kabila!!
Kweli kukaya ni Nyumbani lkn dhima ya mtunzi inamaana nyingi sana