Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
-
- #221
Ni limediocre kweliMediocre in Swahili - Ujinga! na kweli safari hii King umeimba ujinga[emoji16] 18 years kwenye game then unakuja an hii[emoji2960]
Watu wa kigoma nawafamu vizuri sikushangaiSasa wewe kijana wa kiume una Mambo ya kike square [emoji1787][emoji1787][emoji1787] njoo Tena nikupe za uso shenzi.
Diamond si ndo alianza kusema alikiba akacheze na Dada zake kariakooo?
Jamaa nae kajibu kuwa alianza kwenda uko ulaya kitambo hakuna cha ajabu.
Acha chuki
Kabla ya remix ya diamond yeye si ndio alianza chokochoko wakati anataka kurudi kwenye gameAlikiba katmia miaka 3 kujibu all the way up remix ya diamond.
Mondi haitaji Kiki kutoka kwa mtu aliye feli mziki.mond kwa sasa kapoa,lazima aitumie hiyo kama ngazi.
nyinyi mashabiki hamuelewi kitu.
Mondi haitaji Kiki kutoka kwa mtu aliye feli mziki.
Mondi haitaji Kiki kutoka kwa mtu aliye feli mziki.au sio.muacheni yeye mwenyewe anajua atajibu nini ili maisha yaendelee nanyinyi mle.
Kumbe nimeelewa sasa "Asa wambie dada zao kariakoo waje ulaya"Alikiba katmia miaka 3 kujibu all the way up remix ya diamond.
Mondi haitaji Kiki kutoka kwa mtu aliye feli mziki.
Bila Diamond Kiba angepotea,kipindi anarudi kwenye game kila interview anamponda Mondi (Ref Sporah Show,Mkasi nk),Mondi alikaa kimya ila baada ya tuxo za Kili na Fiesta Mondi ndipo akaanza kujibu mapigo.
Ila uzuri siku hizi hajibu Harmo kamchokonoa kamchunia apambane na hali yake,huyu nae hatojibiwa.
Huyo hajibiwi aliponda kuna watu waongeza zero watu wakakaa kimya,mara wananiibia viewers watu kimya hata huu wimbo utapita kama upepo,siku hizi hawa mjibu wanamwacha arukeruke wanajua atatulia.kiba sio harmo,hata mond anajua hilo.
ndio maana hawezi kukalia kimya.
Huyo hajibiwi aliponda kuna watu waongeza zero watu wakakaa kimya,mara wananiibia viewers watu kimya hata huu wimbo utapita kama upepo,siku hizi hawa mjibu wanamwacha arukeruke wanajua atatulia.
Sasa hivi Mondi nguvu zake zipo kwenye label yake na Wasafi Media kuifanya iwe bora.
Yeye kick yake Mondi tokea anarudi kwenye game,alijibiwa kaanza kutafuta huruma,Mwenzake Ommy nae alikuwa anaponda wamemchunia,sijui yupo wapi hata kampeni za CCM simwoni.mna kasumba za kipuuzi kwamba tusimjibu ili akose kick.bahati mbaya huwa hayawi kweli mnayotamani.
kiba ni msanii wa aina yake,asiyetegemea kick za kijinga.
mond anajua biashara inataka nini,sio wanazi mnataka nini,jipe muda utajisonya.
Hauwezi kuwa FANANI bila HADHIRA,so hao wanazi ndio HADHIRA yenyewe.
Manyumbu mnapeana moyo..Fresh ya Fid q .
Domo aliifanyia remix akatoa shombo ingawa kurap hajui hadi Fid q akasema angejua lengo lake asingempa wimbo..sasa upepo umebadirika mara mzee mara ooh.SICHEZI NA DADA ZANGU NACHEZA NA DADAKO kafieni mbele
Lakini nakumbuka kiba aligeuka kuwa Twitter finger mda wote yupo twitter kujibu mashambulizi ila mwenzie term hii kaamua kumpuuza...
Kwani Kuna mtu kamtaja yule kilema wa mdomo mbona mnawashwa washwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The King himself