Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Diamond si ndo alianza kusema alikiba akacheze na Dada zake kariakooo?

Jamaa nae kajibu kuwa alianza kwenda uko ulaya kitambo hakuna cha ajabu.

Acha chuki

Alikiba katmia miaka 3 kujibu all the way up remix ya diamond.
 
mond kwa sasa kapoa,lazima aitumie hiyo kama ngazi.

nyinyi mashabiki hamuelewi kitu.
Mondi haitaji Kiki kutoka kwa mtu aliye feli mziki.

Bila Diamond Kiba angepotea,kipindi anarudi kwenye game kila interview anamponda Mondi (Ref Sporah Show,Mkasi nk),Mondi alikaa kimya ila baada ya Kili na Fiesta Mondi ndipo akaanza kujibu mapigo.

Ila uzuri siku hizi hajibu Harmo kamchokonoa kamchunia apambane na hali yake,huyu nae hatojibiwa.
 
au sio.muacheni yeye mwenyewe anajua atajibu nini ili maisha yaendelee nanyinyi mle.
Mondi haitaji Kiki kutoka kwa mtu aliye feli mziki.

Bila Diamond Kiba angepotea,kipindi anarudi kwenye game kila interview anamponda Mondi (Ref Sporah Show,Mkasi nk),Mondi alikaa kimya ila baada ya tuxo za Kili na Fiesta Mondi ndipo akaanza kujibu mapigo.

Ila uzuri siku hizi hajibu Harmo kamchokonoa kamchunia apambane na hali yake,huyu nae hatojibiwa.
 
Mondi haitaji Kiki kutoka kwa mtu aliye feli mziki.

Bila Diamond Kiba angepotea,kipindi anarudi kwenye game kila interview anamponda Mondi (Ref Sporah Show,Mkasi nk),Mondi alikaa kimya ila baada ya tuxo za Kili na Fiesta Mondi ndipo akaanza kujibu mapigo.

Ila uzuri siku hizi hajibu Harmo kamchokonoa kamchunia apambane na hali yake,huyu nae hatojibiwa.

kiba sio harmo,hata mond anajua hilo.

ndio maana hawezi kukalia kimya.
 
kiba sio harmo,hata mond anajua hilo.

ndio maana hawezi kukalia kimya.
Huyo hajibiwi aliponda kuna watu waongeza zero watu wakakaa kimya,mara wananiibia viewers watu kimya hata huu wimbo utapita kama upepo,siku hizi hawa mjibu wanamwacha arukeruke wanajua atatulia.

Sasa hivi Mondi nguvu zake zipo kwenye label yake na Wasafi Media kuifanya iwe bora.
 
Manyumbu mnapeana moyo..Fresh ya Fid q .
Domo aliifanyia remix akatoa shombo ingawa kurap hajui hadi Fid q akasema angejua lengo lake asingempa wimbo..sasa upepo umebadirika mara mzee mara ooh.SICHEZI NA DADA ZANGU NACHEZA NA DADAKO kafieni mbele
 
mna kasumba za kipuuzi kwamba tusimjibu ili akose kick.bahati mbaya huwa hayawi kweli mnayotamani.
kiba ni msanii wa aina yake,asiyetegemea kick za kijinga.

mond anajua biashara inataka nini,sio wanazi mnataka nini,jipe muda utajisonya.
 
Yeye kick yake Mondi tokea anarudi kwenye game,alijibiwa kaanza kutafuta huruma,Mwenzake Ommy nae alikuwa anaponda wamemchunia,sijui yupo wapi hata kampeni za CCM simwoni.

NB:Hauwezi kuwa FANANI bila HADHIRA,so hao wanazi ndio HADHIRA yenyewe.
 
Hauwezi kuwa FANANI bila HADHIRA,so hao wanazi ndio HADHIRA yenyewe.

hadhira wa kweli ni yule anayeenda kwa mond kwenye show na kesho pia anaenda kwa kiba kama ana show.

kinyume na hapo yanakuwa ni mambo ya kitoto.
 
Manyumbu mnapeana moyo..Fresh ya Fid q .
Domo aliifanyia remix akatoa shombo ingawa kurap hajui hadi Fid q akasema angejua lengo lake asingempa wimbo..sasa upepo umebadirika mara mzee mara ooh.SICHEZI NA DADA ZANGU NACHEZA NA DADAKO kafieni mbele

Lakini nakumbuka kiba aligeuka kuwa Twitter finger mda wote yupo twitter kujibu mashambulizi ila mwenzie term hii kaamua kumpuuza...
 
mbona unamaliza maneno yote,weka akiba bana haya siku tatu bado hazijapita.
 
Back
Top Bottom