Wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni

Wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni

1718902875922.jpg
 
Hili suala la wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni.

Yani leo kila sehemu unayopita ni Chris Brown kampost Diamond SMHO.

Yani Chris Brown leo ametukuzwa kila mahali, kiasi kwamba Chris akijua kinachoendelea hapa Tzzz basi atacheza na wimbo wa Disconnect.

Bila kusahau atacheza na wimbo wa Hakuna matata, akimaliza atacheza tena wimbo wa SENSEMA.

Akimaliza kucheza hizo nyimbo atacheza wimbo wa ANAUPIGA MWINGI.
 
Tutaona ajabu siku akipost ya ali kiba au mmakonde ila kuwa amepostiwa mond hakuna ajabu ni ushamba wetu
 
Back
Top Bottom