Wimbo wa enjoy ungekuwa ni collabo kati ya Jux na msanii wa kawaida ingetisha sana

Wimbo wa enjoy ungekuwa ni collabo kati ya Jux na msanii wa kawaida ingetisha sana

Wizzdanie
Ndio msanii gani huyo mbona mimi simjui ?
tzswag_-20190920-0001.jpg
 
Unaongea utopolo ......bila shaka hata elimu huna .....

Level aliyofikia mondi ......hata akiimba madudu....bado Ngoma inakuwa trending...... refer wimbo wa jibebe...... umewahi elewa kilichoimbwa ....??

Lkn Ngoma ilikuwa no 1 trending

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tecno kilogram 5 ndio ikoje hio
 
Hata sumu alikiba angemshirikisha mond ingekuwa global hit... Ye kajichagulia kina marioo! Hv unajua "enjoy" haijaizidi kwa uzuri na kupendwa "sugar daddy" aliyoimba gnako na jux lakini enjoy ndo imehit zaid ya sugar daddy???

Mtu unayemshirikisha ndo anadetermine ukubwa wa nyimbo na sio uzuri wa mashairi kama ya barnaba
 
Hata kwenye angle ya mashairi mbona wameimba mashairi yapo poa kabisa wote wawili kuanzia message ipo clear na kustick kwenye content ya wimbo na pia hauna matusi mafikiri mtoa mada atakuwa ana chuki binafsi
 
Kwasasa Diamond hana personality nzuri, amekuwa na muonekano usioendana na haiba yake, angalia hata anavyoweka manywele, nadhani kwa umbo lake na kichwa chake kunatakiwa kuwe na uwiano fulani wa nywele au rasta, ukikosea au kuzidisha unakuwa kituko.
Pia suala la kukaa tumbo/kifua wazi kwa umbile lake haimpendezeshi TOFAUTI NA WENYE MIILI KAMA KINA BURNAB
Kwa melezo haya unaweza kusikilizwa, nenda WCB ule ajira Diamond awe na personality nzuri.
 
Yan unaongea rubbish from the start
Kwahio Davido ni mkongwe kuliko wizkid??
 
Back
Top Bottom