Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ndio msanii gani huyo mbona mimi simjui ?Wizzdanie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio msanii gani huyo mbona mimi simjui ?Wizzdanie
Haiondoi maana kuwa umeelewa ni Kizz Daniel.Ndio msanii gani huyo mbona mimi simjui ?View attachment 2698458
Tecno kilogram 5 ndio ikoje hioUnaongea utopolo ......bila shaka hata elimu huna .....
Level aliyofikia mondi ......hata akiimba madudu....bado Ngoma inakuwa trending...... refer wimbo wa jibebe...... umewahi elewa kilichoimbwa ....??
Lkn Ngoma ilikuwa no 1 trending
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hata kwenye angle ya mashairi mbona wameimba mashairi yapo poa kabisa wote wawili kuanzia message ipo clear na kustick kwenye content ya wimbo na pia hauna matusi mafikiri mtoa mada atakuwa ana chuki binafsiHata sumu alikiba angemshirikisha mond ingekuwa global hit... Ye kajichagulia kina marioo! Hv unajua "enjoy" haijaizidi kwa uzuri na kupendwa "sugar daddy" aliyoimba gnako na jux lakini enjoy ndo imehit zaid ya sugar daddy???
Mtu unayemshirikisha ndo anadetermine ukubwa wa nyimbo na sio uzuri wa mashairi kama ya barnaba
Sio kila kitu ni DPWaarabu wa DP waje watunyooshe tu...kama watu wetu ndo hawa ....waraabu karibuni bongo
Kwa melezo haya unaweza kusikilizwa, nenda WCB ule ajira Diamond awe na personality nzuri.Kwasasa Diamond hana personality nzuri, amekuwa na muonekano usioendana na haiba yake, angalia hata anavyoweka manywele, nadhani kwa umbo lake na kichwa chake kunatakiwa kuwe na uwiano fulani wa nywele au rasta, ukikosea au kuzidisha unakuwa kituko.
Pia suala la kukaa tumbo/kifua wazi kwa umbile lake haimpendezeshi TOFAUTI NA WENYE MIILI KAMA KINA BURNAB