Wimbo wa enjoy ungekuwa ni collabo kati ya Jux na msanii wa kawaida ingetisha sana

Tecno kilogram 5 ndio ikoje hio
 
Hata sumu alikiba angemshirikisha mond ingekuwa global hit... Ye kajichagulia kina marioo! Hv unajua "enjoy" haijaizidi kwa uzuri na kupendwa "sugar daddy" aliyoimba gnako na jux lakini enjoy ndo imehit zaid ya sugar daddy???

Mtu unayemshirikisha ndo anadetermine ukubwa wa nyimbo na sio uzuri wa mashairi kama ya barnaba
 
Hata kwenye angle ya mashairi mbona wameimba mashairi yapo poa kabisa wote wawili kuanzia message ipo clear na kustick kwenye content ya wimbo na pia hauna matusi mafikiri mtoa mada atakuwa ana chuki binafsi
 
Kwa melezo haya unaweza kusikilizwa, nenda WCB ule ajira Diamond awe na personality nzuri.
 
Yan unaongea rubbish from the start
Kwahio Davido ni mkongwe kuliko wizkid??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…