miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
tak
takoooooMsambwanda Ndio Nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
takoooooMsambwanda Ndio Nini?
Hainaga ushemeji ya ManFongo ni wimbo uliobamba sana kwenye hizi nyakati za Tanzania ya wazinzi. Cha ajabu nilikuwa nasikilizaga chorus tu sijawahi kuconcentrate kusikiliza verse zake, jana wakati nimetulia napata moja moto moja baridi nikawa nasikiliza mstari mmoja baada ya mwingine, nikashangaa sana kumbe verse na chorus havina mahusiano kabisa.
Kwenye chorus anazungumzia kitu kingine, verse vitu vingine sasa nikajiuliza huu wimbo umetambaje na kwanini watu wengi wamekomalia kwenye chorus tu au ndo mwisho wetu wa kufikiri ulipoishia? Maana nilichogundua tukiuliza watu 10 waliousikiliza wimbo huo uenda ni mtu mmoja tu anaweza akawa ameelewa verse zinazungumzia nini.
Alichokifanya ManFongo ni kama kwenye kichwa cha habari cha gazeti kiandikwe kuhusu Tetemeko la Kagera halafu kwenye content waelezee kuhusu msambwanda wa Wema Sepetu.
Wana chuki hao!mbona unaeleweka?
Bia kawaida yangu mbona Vp unakiuAlaf we jamaa kila siku lazima unywe bia duh aya buana
WAimba singer wte wahun nivigumu kuerewa wanachoimbachura kwa jinsi tulivyo karirishwa kizinzi ni msambwandaaaaaaaaaa
Ahahaha,umeua!Kuna dereva nilimpa teksi afanyie kazi lakini siku nilikuta anapiga mnanda nikamyang'anya kwani nilijua huyu ataishia kupata pesa ya fegi hawezi kufikiria mbali na kujikwamua.
Hawana Unafiki!Wanaimba Wanacho Kiishi!Mi napata mashaka sana na wapenzi wa singeli...ni watu wa ajabu ajabu tu....ndio
Singeri generaly ni mzk wa wauni ndyo maana ata majina yao yana sadifu kma "man fongo.Sholimwamba.Nijaboy" sasa unazan ww apo utaerew Nn[/QUOTE
Steve shemeji huu mwandiko wako unaonekana na wewe ni dugu moja na hawa jamaa
Safari lagerHivyo wanasikiliza wanaobarehe tu, mtu mzima utasikiliza hizo kelele upate kionjo gani humo?
kwani basata wakowapi?Hainaga ushemeji na salome ni nyimbo za kufungiwa
Sasa nipo Heru juu.....Hujausikia vizuri labda!