Wimbo wa Hainaga ushemeji umenishangaza

Hii photoshop... Hicho kikaptura hakiwezi pita hapo
 

Mziki una lugha yake mkuu ukitaka message nenda kasome biblia, ndio maana hata coffi olomide aliimba kuhusu selfie na kuisha '' pga picha, kwa piga tena kwa, haijatok.... tumeona wanamziki weng sana wenye mesaage kama muumini walivyoishia kupotea, mziki wa salome unamaana gani , lakini viewers 2.5mil sasa.... unataka mnessage soma vitabu
 
Mi napata mashaka sana na wapenzi wa singeli...ni watu wa ajabu ajabu tu....ndio
 
Hivyo wanasikiliza wanaobarehe tu, mtu mzima utasikiliza hizo kelele upate kionjo gani humo?
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀 wewe huoni wanaoshabikia Walivyo ! kama RAIS wao yule KICHEKO yaani daah ! HATARII
 
Singeri generaly ni mzk wa wauni ndyo maana ata majina yao yana sadifu kma "man fongo.Sholimwamba.Nijaboy" sasa unazan ww apo utaerew Nn[/QUOTE

Steve shemeji huu mwandiko wako unaonekana na wewe ni dugu moja na hawa jamaa
 
Huo ni wimbo wa kizazi cha mwendokasi hahna tofauti na Salome uliotoka juzi!!
Nyimbo za siku hizi ilimradi tu hakuna ujumbe kabisa cha muhimu ni beat linachezeka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…