RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mimi pia huwa nasikia kelele tu, sasa nikiona vijana wanavyowehuka na huo wimbo ndio naamini kweli nishazeeka!Mimi huwa nasikia kelele tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia huwa nasikia kelele tu, sasa nikiona vijana wanavyowehuka na huo wimbo ndio naamini kweli nishazeeka!Mimi huwa nasikia kelele tu
Singeri generaly ni mzk wa wauni ndyo maana ata majina yao yana sadifu kma "man fongo.Sholimwamba.Nijaboy" sasa unazan ww apo utaerew Nn
Ndo wasanii wetu walivo....kuna wanaobana pua had husikii anaimba nn..wengine wanakusanya maneno yasiyo na maana ilimrad kupata rhyme...tunasikia chorus au labda na hizo bits..wabongo fleva wabadilike sasa..wafate kanuni za uimbaji!!!Hainaga ushemeji ya ManFongo ni wimbo uliobamba sana kwenye hizi nyakati za Tanzania ya wazinzi. Cha ajabu nilikuwa nasikilizaga chorus tu sijawahi kuconcentrate kusikiliza verse zake, jana wakati nimetulia napata moja moto moja baridi nikawa nasikiliza mstari mmoja baada ya mwingine, nikashangaa sana kumbe verse na chorus havina mahusiano kabisa.
Kwenye chorus anazungumzia kitu kingine, verse vitu vingine sasa nikajiuliza huu wimbo umetambaje na kwanini watu wengi wamekomalia kwenye chorus tu au ndo mwisho wetu wa kufikiri ulipoishia? Maana nilichogundua tukiuliza watu 10 waliousikiliza wimbo huo uenda ni mtu mmoja tu anaweza akawa ameelewa verse zinazungumzia nini.
Alichokifanya ManFongo ni kama kwenye kichwa cha habari cha gazeti kiandikwe kuhusu Tetemeko la Kagera halafu kwenye content waelezee kuhusu msambwanda wa Wema Sepetu.
Sasa nipo Heru juu.....
Mimi pia huwa nasikia kelele tu, sasa nikiona vijana wanavyowehuka na huo wimbo ndio naamini kweli nishazeeka!