Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaKwani national id ya kenya mnawekaga tribes?
Kenya rapper King Kaka has released a song on Saturday, December 14, mocking Kenyan politicians.
"Washenzi....."!
"Politicians wana ujinga za kila aina...."!
ila uhuru kama huo wa msanii kudondoka namna hio ndio hakuna.
hakuna wa kumstopisha Roma.ila uhuru kama huo wa msanii kudondoka namna hio ndio hakuna.
Matatizo ya TZ yako tunayajua...tatizo la hawa kenya wanajikweza sana kwa kila kitu wakati kiuhalisia wana matatizo ya kimsingi (structural) mengi kuliko hata TZ....ila uhuru kama huo wa msanii kudondoka namna hio ndio hakuna.
Artists are penning songs celebrating the president as if he is the second coming. Anyone who criticizes the party or presidency jail time.
What is sycophancy?