Wimbo wa King Kaka wa Wajinga nyinyi!!! (Kenya)

Wimbo wa King Kaka wa Wajinga nyinyi!!! (Kenya)

Casa

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
329
Reaction score
157
Kenya rapper King Kaka has released a song on Saturday, December 14, mocking Kenyan politicians.



"Washenzi....."!

"Politicians wana ujinga za kila aina...."!
 
20191215_170922.jpg
 
,,Hiyo milango yenu mnabeef security hamuwezi hata kunikubalia hodi, ...” hiyo mistari imenigusa sana, hata hapa TZ kuna watu wajinga kama huyo Wanjiku hasa chadema followers wanashangilia na kumpigania Muzungu alipwe wakati hawapati hata shilingi, na hata wakionekana kwenye geti la Fatuma Karume au Tundu lisu ambao wako kwenye payroll ya huyo Muzungu watafukuzwa na watchman kama mbwa mwitu.

Nimeipenda hii flow, inawahusu slow thinking chadema followers.
 
This is a clear display of the freedom of expression in Kenya. It is important to have a critique of the society!

I don’t think this type of freedom of expression is tolerated anywhere else in East Africa.

Tanzanian Idris Sultan 'held' for Magufuli face-swap
Popular Tanzanian comedian Idris Sultan is being held by police after sharing face-swap photos of himself and President John Magufuli, his lawyer says.

His lawyer said he was being held under the controversial Cybercrimes Act, which forbids using a computer system to "impersonate" someone else.

If charged and convicted, he could face up to seven years in prison.

Sultan was called into a police station on Wednesday, according to a relative.

Police and Mr Magufuli's office have yet to comment.

Sultan, the one-time winner of Big Brother Africa, shared two photos on his social media accounts which have more than five million followers.

One of the pictures shows Sultan posing on a presidential chair with the national seal, while the other shows Mr Magufuli's face on the comedian's body.



Presentational white space

The caption was in Swahili, and read: "We swapped roles for a day so that he could enjoy his birthday in peace."
Shortly after the photos were posted, an Instagram comment, thought to be from Paul Makonda, the Regional Commissioner for Dar es Salaam, told Sultan to report to any police station in the city for further instructions, adding that he "doesn't know the boundaries of his work."


 
Hongera King Kaka, haki na uhuru wa kujieleza Kenya sio level ya Afrika, kuna baadhi ya shitholes msanii akifanya alichokifanya huyu Kinga Kaka anatoweka, watu wasiojulikana wanamtembelea usiku.

Kuna huyu msanii alithubutu Tz, ila yalimkuta ya kumkuta

 
ila uhuru kama huo wa msanii kudondoka namna hio ndio hakuna.
Matatizo ya TZ yako tunayajua...tatizo la hawa kenya wanajikweza sana kwa kila kitu wakati kiuhalisia wana matatizo ya kimsingi (structural) mengi kuliko hata TZ....
 
Artists are penning songs celebrating the president as if he is the second coming. Anyone who criticizes the party or presidency jail time.

What is sycophancy?







Matatizo ya TZ yako tunayajua...tatizo la hawa kenya wanajikweza sana kwa kila kitu wakati kiuhalisia wana matatizo ya kimsingi (structural) mengi kuliko hata TZ....
 
Back
Top Bottom