Wimbo wa King Kaka wa Wajinga nyinyi!!! (Kenya)

Umeamua kuungalia upande mmoja ukipuuza mwingine DCI Kenya wamesema they never summoned Mr Rabbit!
 
Umeamua kuungalia upande mmoja ukipuuza mwingine View attachment 1295033DCI Kenya wamesema they never summoned Mr Rabbit!
Mimi sisemi kuhusu DCI, ninazungumzia kuhusu vitisho anavyopata toka kwa watu na viongozi serikalini, kama ilivyo kwa Alfred Mutua kutishiwa na DP- Rutto, huo ndio Uhuru gani?, mtu akisema kitu maisha yake yanakua hatarini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dude please uhuru wetu wa kujieleza huwezi linganisha na nchi za EA! Ulisema mwenyewe anawindwa kama digidigi.
Nitajie watu ambao Kenya wameuawa huu mwaka kwa sababu za Kisiasa kwa vile umesema tunaongoza ukanda huu..
 
Umeamua kuungalia upande mmoja ukipuuza mwingine View attachment 1295033DCI Kenya wamesema they never summoned Mr Rabbit!

Watanzania wanatumia nguvu nyingi sana kutushusha tuonekane kama tupo kwenye level yao huko kwenye matope.
Huyu Mr. Rabbit hajaagizwa kufika kwa ofisi za DCI, na pia ni mwanasiasa mmoja tu ambaye amejitokeza hadharani kuonyesha kukerwa na huo wimbo, dada Waiguru, ambaye amesema atatumia mbinu za kikatiba kupambana na huyo msanii.
Ndivyo ilivyo kwa nchi ambazo huongozwa kwa utawala wa kisheria na katiba, ukiona umekerwa na mtu, unatumia mbinu za kikatiba kupambana naye, sio shithole ambao kwao mtu anatekwa na kutoweka kisa kashutumu utawala pale wanaibia wananchi hela za umma.
Kenya tupo kwenye level tofauti sana, yaani ukanda huu hamna wa kujifananisha na sisi, wamguse huyu Rabbit waone kitakavyonuka, wengi huwa tunashabikia mazuri ya serikali kiuzalendo, lakini ikifanya madudu lazima yasemwe na kukosolewa.
Lakini kwa wenzetu, mapambio kwa kwenda mbele, WanaCCM hushabikia risasi alizopigwa Lissu.
 
Dude please uhuru wetu wa kujieleza huwezi linganisha na nchi za EA! Ulisema mwenyewe anawindwa kama digidigi.
Nitajie watu ambao Kenya wameuawa huu mwaka kwa sababu za Kisiasa kwa vile umesema tunaongoza ukanda huu..
Mbona unatoka nje ya mada?, tunachuzungumzia ni vitisho anavyopata King Kaka baada ya kutuo huo wimbo wake, huo Uhuru wa kujiekeza upo wapi ikiwa watu wanaozungumza ukweli wanatishiwa maisha na wengine kufurushwa nchini kwa nguvu kama Miguna Miguna?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ameitwa huko kwa mahojiano khsu hyo nyimbo yake na serikali

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuoneshaa kama mko salama
Huyo king kaka alikamatwa na wakamburuza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu wenye slow thinking sio lazma wawe na chama, kwanini unajiegemeza kwenye uchama chama???

Upumbavu au ujinga hauna chama, hauna makazi maalumu iwe Lumumba ama Chimwaga, popote yoyote anaweza akawa na fikra finyu, mmoja wapo ni wewe mwenye poor thinking.
 
Umemshugulikia ipasavyoooo huyo
Asanteeeeee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya huwa mnajifaragua tu kwenye suala la utawala wa sheria na katiba tena ni huku JF tu.
 
Anayepotea mada ni wewe, bado hujanitajia watu waliouawa mwaka huu kwa sababu ya kujieleza, baada ya kusema Kenya tunaongoza ukanda huu kwa political assassinations?
Msanii King Kaka hakuna aliyemtishia maisha yake. Waiguru aliyekerwa amesema atafuata njia ya Mahakama.
As for Miguna tayarisha Passport yako njoo JKIA kumlaki, January 11 anarudi nyumbani! Remember the court ruled in his favour?
 
Kwahiyo mwenyewe King Kaka abaposema maisha yake yapo hatarini kwa sababu ya kupokea vitisho ni muongo?, na Miguna Miguna anaposema serikali imekataa kumrudishia passport yake pia ni muongo ila wewe ndio mkweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…