Watanzania wanatumia nguvu nyingi sana kutushusha tuonekane kama tupo kwenye level yao huko kwenye matope.
Huyu Mr. Rabbit hajaagizwa kufika kwa ofisi za DCI, na pia ni mwanasiasa mmoja tu ambaye amejitokeza hadharani kuonyesha kukerwa na huo wimbo, dada Waiguru, ambaye amesema atatumia mbinu za kikatiba kupambana na huyo msanii.
Ndivyo ilivyo kwa nchi ambazo huongozwa kwa utawala wa kisheria na katiba, ukiona umekerwa na mtu, unatumia mbinu za kikatiba kupambana naye, sio shithole ambao kwao mtu anatekwa na kutoweka kisa kashutumu utawala pale wanaibia wananchi hela za umma.
Kenya tupo kwenye level tofauti sana, yaani ukanda huu hamna wa kujifananisha na sisi, wamguse huyu Rabbit waone kitakavyonuka, wengi huwa tunashabikia mazuri ya serikali kiuzalendo, lakini ikifanya madudu lazima yasemwe na kukosolewa.
Lakini kwa wenzetu, mapambio kwa kwenda mbele, WanaCCM hushabikia risasi alizopigwa Lissu.