Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ushabiki kivipi mkuuNyie leteni tu ushabiki wa Simba na Yanga kwenye utawala wa nchi
ni balaaHatari Sana
Mkuu tuliza akili, mbona ujumbe unaeleweka. Kuwa mama anaupiga mwingi.1. Nyie leteni tu ushabiki wa Simba na Yanga kwenye utawala wa nchi
2. Tetesi ya kitu gani
3.Rudi shule kajifunze kuandika
Kesha imbiwa ndiyo kitu gani
1. Nyie leteni tu ushabiki wa Simba na Yanga kwenye utawala wa nchi
2. Tetesi ya kitu gani
3.Rudi shule kajifunze kuandika
Kesha imbiwa ndiyo kitu gani
ππππππTuliawatu wanatafta teuzi
Mtu akisifia tu anatafuta teuzi acheni mambo yenu ukuda huowatu wanatafta teuzi
ππππππππMtu akisifia tu anatafuta teuzi acheni mambo yenu ukuda huo
ahhhhhh,jaman ni kama umepanika1. Nyie leteni tu ushabiki wa Simba na Yanga kwenye utawala wa nchi
2. Tetesi ya kitu gani
3.Rudi shule kajifunze kuandika
Kesha imbiwa ndiyo kitu gani
ππππππππahhhhhh,jaman ni kama umepanika
Sawa sarafinaKwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake.
Mama amefungua mipaka.
Wawekezaji wameanza kumiminika.
Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa.
Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
Nmeona Bongo movie wanampongeza kwa waheshimisha kwa kucheza ile movie. Eti wanadai kawapeleka kimataifa. Nimecheka sana akina steve nyerere wana masters za uchawa π€£π€£Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake.
Mama amefungua mipaka.
Wawekezaji wameanza kumiminika.
Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa.
Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
Kwakweli mama anastahili pongezi kwa kazi kubwa anayofanya ya kuifungua hii nchi na haya ndio malipo yake.
Mama amefungua mipaka.
Wawekezaji wameanza kumiminika.
Mikataba ya Trillioni za pesa inasainiwa.
Na mengine mengi tutazidi kuyaona.
Wanataka tu tuponde hawa akina.....Mtu akisifia tu anatafuta teuzi acheni mambo yenu ukuda huo