Wimbo wa kumsifu rais Samia

Wimbo wa kumsifu rais Samia

Nmeona Bongo movie wanampongeza kwa waheshimisha kwa kucheza ile movie. Eti wanadai kawapeleka kimataifa. Nimecheka sana akina steve nyerere wana masters za uchawa 🀣🀣

Mkuu link tafadhali kizuri kula na nduguzo chief...!
 
IMG_20220424_124334.jpg
IMG_20220424_124307.jpg
hii nchi machawa wana nguvu sana na ina vituko.
Mimi ningekuwa raisi ningejua kabisa hawa wananipamba wanipige tu
 
View attachment 2198746View attachment 2198747hii nchi machawa wana nguvu sana na ina vituko.
Mimi ningekuwa raisi ningejua kabisa hawa wananipamba wanipige tu
Siasa ni WATU....

Bila ya WATU....

Bila ya WAUNGA MKONO na kusimama vyema na kiongozi huwa hakuna SIASA IMARA....kwani binadamu tunasahau haraka.....

Binadamu tunasahau mazuri mno sembuse machache ya muda mfupi?!!!

Ni lazima TUKUMBUSHWE...
Ni lazima TUKUMBUSHANE uadhimu wa Tanzania na viongozi wetu wakubwa πŸ’ͺ

#Siempre JMTπŸ™
#Siempre SSHπŸ™
 
Sikatai ila sio uunge vitu ili mradi hawa wanataka kumjaza wampige eti kawaheshimisha bongo movie. 🀣🀣🀣
 
Sio kukubali kupigwa...
Sio kumpiga......

Siasa ni watu kaka....

Unataka kusema TAKRIMA ni rushwa?!!! 😳🀣🀣

Mh.Rais SSH ni mwanasiasa nguli...amehudumu ujumbe ndani ya KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM kwa miaka zaidi ya 21....si mwepesi hataaa πŸ”₯πŸ”₯
 
Kwakweli ukiwa na watu wanakusifu sifu hata kwa kuunda unda vitu kuwa makini nao
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Back
Top Bottom