Wimbo wa SALOME wa Diamond Platnumz ni uasherati mtupu

nyimbo nzr achen maneno yaajabu apo kibaya kipi sasa maana wana muziki wengi wana imba nyimbo za mapenzi sasa km utaki nibora uka sikiliza nyimbo za dini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tangu juzi nilisema atakayeelewa mitusi ya Raymond ni mtu mzima huyo na sio mtoto kwahiyo haina taabu! Dogo amepiga full tafsida na ndio maana watu wengi walikuwa hawajamwelewa kasoro sie wana fasihi!!

Ila wewe Ipycalypse ndo unayaweka matusi hadharani! Sie wengine ingawaje siku ile ile tulishagundua, tuliamua kukausha ili kutowafumbua watoto!!
 
Binafsi niliusikiliza wimbo wake bila hata kuumiza kichwa nikajua tu Diamond kaimba matusi japo kwa tafsida kidogo.
 
Mi niliielewa mara ya kwanza kuusikiliza! Wimbo hatari huu!!!
 
Mi aliposema akainama chini akimwona jongoo Mimi nilijua Salome ni uoga tu hadi jongoo anaogopa?? Kumbe matusi Dooh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nyimbo nzr achen maneno yaajabu apo kibaya kipi sasa maana wana muziki wengi wana imba nyimbo za mapenzi sasa km utaki nibora uka sikiliza nyimbo za dini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hebu elewa hajasema wimbo mbaya ila kajaribu kuonyesha kilichozungumzwa kwenye huo wimbo..binafsi nimeukubali sanaaa tena sana ila nasema una matusi mengi
 
Watu kwa kupenda kukuza vitu. Nini maana ya fasihi? Utakavyoelewa wewe sio atakavyoelewa mwingine. Ni sawa na mtu ukimwambia "umenikanyaga" kmbe yy kichwan tayari anajua kukanyaga maana yake ya kifedhuli. Pia Ni sawa na kusema "anakalia kigogo kwa mbele" mwingine atafikiria vigogo vingine kumbe kigogo sehemu
 
Mmmh watu wako fasta mie hata sijausikiliza nasubiri weekend nipate nafasi. Huku tafsiri zimeshatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…