Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ...Hii dawa ya salome ni Kali kweli unakunywa mara moja unahara kila siku ,ila sasa imezidi makali maana walokunywa wanajiharishia kabisa sasa
Sa' huoni ndo vizuri; au?!halafu sumbai anataka huu uwe wimbo wa kuingilia ukumbini siku ya harusi yake..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi aliposema akainama chini akimwona jongoo Mimi nilijua Salome ni uoga tu hadi jongoo anaogopa?? Kumbe matusi Dooh
Hapo ndo amefanya vizuri! Yaani unaeza ukauimba na usijue maana aisee!Yametumika maneno ya mafumbo na sidhani kama kuna ubaya hapo
Hebu elewa hajasema wimbo mbaya ila kajaribu kuonyesha kilichozungumzwa kwenye huo wimbo..binafsi nimeukubali sanaaa tena sana ila nasema una matusi menginyimbo nzr achen maneno yaajabu apo kibaya kipi sasa maana wana muziki wengi wana imba nyimbo za mapenzi sasa km utaki nibora uka sikiliza nyimbo za dini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]