Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu na wazee tukumbukwe kwenye wimbo, make unaimbwa hivi [emoji445]Dumisha uhuru na umoja, wake kwa waume na watoto[emoji444][emoji445] yaani wazee hatutajwi kabisa.
Kwan watoto hawana jinsia?!Kwani wazee wana jinsia yao ya kitofauti? Yaani sio wanawake wala wanaume? Mbona vijana hawajatajwa
Huo wimbo wa tazama ramani ni bonge la wimbo.Ni kweli halafu hicho kipande cha Mungu ibariki Afrika, wabariki viongozi wake, kina dosari, tunamwomba Mungu kuwabariki viongozi ambao ni majizi na wauaji kwa nia ya kujitajirisha wao.
Kuna members walishauri wimbo sahihi uwe ule wa Tazama ramani utaona nchi nzuri... ambao kimsingi ni mzuri na maudhui yake ni nzuri
Unaposema wabariki viongozi wake ina maana unabariki hata wale wasioipenda Tanzania, madikteta, walioiba kura, wanaong'ang'ania madarakani na wale waliopindua viongozi halali kupata uongozi.Ni kweli halafu hicho kipande cha Mungu ibariki Afrika, wabariki viongozi wake, kina dosari, tunamwomba Mungu kuwabariki viongozi ambao ni majizi na wauaji kwa nia ya kujitajirisha wao.
Kuna members walishauri wimbo sahihi uwe ule wa Tazama ramani utaona nchi nzuri... ambao kimsingi ni mzuri na maudhui yake ni nzuri
😂😂😂Na bendera ipunguzwe rangi! Toa rangi ya blue maana tayari bahari inaonekana kwenye ramani!
Unganisha Mwanza, Geita, kagera, shinyanga, simiyu ita KANDA YA ZIWA Dar, lindi,Mtwara, Moro na pwani yenyewe ita MWAMBAO WA PWANI...
Ha ha ha haNashauri tusiimbe kabisa
Tukonyezane tu ili kuokoa muda.
Kwenye majizi mbona hata hapa ni majizi sana!? Tena kuanzia waliopo madarakani na wanaopambania kushika dola. Kwa kifupi hakuna Wa kmsema mwenzake!Ni kweli halafu hicho kipande cha Mungu ibariki Afrika, wabariki viongozi wake, kina dosari, tunamwomba Mungu kuwabariki viongozi ambao ni majizi na wauaji kwa nia ya kujitajirisha wao.
Kuna members walishauri wimbo sahihi uwe ule wa Tazama ramani utaona nchi nzuri... ambao kimsingi ni mzuri na maudhui yake ni nzuri
Rangi nyeusi iraondolewa tu kwa ubaguzi wake wa rangi!Rangi ya blue iachwe maana imeshaanza kuwa kama ndio nembo ya taifa. Air Tanzania, national team, udart, etc. Tutoe rangi ya kijani na njano maana zinafanana na club moja ya mpira hapa nchini iliyopoteza mwelekeo. Ni aibu kuwa na rangi zao kwenye bendera. Rangi nyeusi pia itolewe haina maana sana, bara zima ni watu weusi tu [emoji23][emoji23]
Tuwakilishe weweVaaaa barakoaa kwanzaaaaaaaa. Umenawamikonoooooooooooooooo
Ukiwa kidogo umetembea katika nchi za Afrika ( labda tu uwe hujatembea kwa bahati mbaya yako ) utagundua ya kwamba Tanzania kwa 75% imehusika katika Kupigania Uhuru wa nchi nyingi za Afrika.Time management, tuokoe muda wa kuimba wimbo mrefu bila sababu.
Afrika (AU) ina wimbo wake, SADC ina wimbo wake na East Africa ina wimbo wake pia hivyo Tanzania hatuna sababu ya kurudia kuimba wimbo wa kuiombea Africa kwenye wimbo wetu.
Kufanya hivi ni kurudia bila sababu kile kinachofanywa na Wimbo wa African Union na kusababisha wimbo wetu kuwa mrefu bila sababu.
Nashauri kile kipande cha Mungu ibariki Afrika tuachane nacho kwenye wimbo wetu wa Taifa ili kibakie kipande cha Mungu ibariki Tanzania ili mambo mengine yabakie kwenye nyimbo za EA, SADC na AU ambazo pia tunahusika nazo.