Wimbo wa Taifa ufupishwe

Mhhh
 
Afu na wazee tukumbukwe kwenye wimbo, make unaimbwa hivi [emoji445]Dumisha uhuru na umoja, wake kwa waume na watoto[emoji444][emoji445] yaani wazee hatutajwi kabisa.
Hata hapo kwa "wake na waume na watoto wamekosea, maana hata wototo pia ni wanaume au wanawake, labda wangesema "wazee, vijana na watoto" ingekuwa sawa.
 
Hoja yako ni dhaifu sana, hata tulipokuwa tunazozana na Idd Amin, Mobutu, Kamuzu na wengine tulikuwa tunaima wabariki viongozi wake wrote wakiwemo akina Idd Amin tunawaombea heri pia. Nadhani wimbo una tatizo kidogo
 
Afu na wazee tukumbukwe kwenye wimbo, make unaimbwa hivi [emoji445]Dumisha uhuru na umoja, wake kwa waume na watoto[emoji444][emoji445] yaani wazee hatutajwi kabisa.
Wazee wameingizwa kwenye group la wake kwa waume maana ni adults, watoto wamewekwa group lao wenyewe kwa sababu they are not adult huwezi kuwaita wake wala waume, they are children
 
Wazee wameingizwa kwenye group la wake kwa waume maana ni adults, watoto wamewekwa group lao wenyewe kwa sababu they are not adult huwezi kuwaita wake wala waume, they are children
Sio kweli, watu wamegawanywa kwenye makundi mawili tu jinsia ya wanaume na wanawake na makundi ya umri ya watoto, vijana, watu wazima na wazee. Hivyo unapotaja watoto lazima utaje na vijana, watu wazima na wazee. Unapotaja makundi yaliyoko kwenye hatari tunataja watoto, wanawake na wazee. Hivyo basi wimbo wetu ulipaswa kuwataja watoto sanjari na vijana, watu wazima na wazee au watoto, wanawake na wazee au ungeishia kutaja wake na waume tu bila watoto.
 
Hoja yako ni dhaifu sana, hata tulipokuwa tunazozana na Idd Amin, Mobutu, Kamuzu na wengine tulikuwa tunaima wabariki viongozi wake wrote wakiwemo akina Idd Amin tunawaombea heri pia. Nadhani wimbo una tatizo kidogo
Foolish....!!
 
Nilifikiria ungeshauri wimbo wa Taifa la Tanzania ndio uwe wa Afrika? Kwani unazungumzia Uhuru, Umoja, kujali watoto ambao ni Taifa la kesho...kwa kifupi wimbo wetu wa Taifa ni bora kwani pia unaondoa ubinafsi bali kujali maslahi ya wengi.
 
Maslahi ya wengi yanaleta dawa kwenye zahanati zetu? Tulimezeshwa ujinga huo eti afrika ni moja Na waafrika wote ni ndugu zetu. Afrika ni moja Na wafrika ni ndugu zetu iko wazi, rangi zetu, hisatoria yetu Na mipaka yetu vinatuunganisha haihitaji kuimba kila siku kila mara.
 
Au ufutwe kabisa , utungwe mpya , maana pamoja na Mungu kutajwa humo lakini nchi imeshindikana kubarikiwa
 
Wimbo wetu wa taifa ulitungwa kujipendekeza kwa mataifa mengine!! Ufutwe tubaki na sehemu ya Tanzania tu. Tunaombea Afrika wakati tunapaswa kuwa na upendo kwa kila binadamu! After all tunaowaombea hawachangii hata bajeti na tusiowaombea ndio wanatusaidia kwenye majanga yetu!! Viongozi tunaowaombea ndio wa kwanza kwa mauaji na unyanyasaji na wengine wana miaka 40 madarakani na hawataki kutoka!!

Wimbo mpya ni muhimu!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli. Naunga mkono hoja. Wimbo uwe na STANZA MOJA tu ya Mungu ibariki Tanzania.
 
Ni kweli. Naunga mkono hoja. Wimbo uwe na STANZA MOJA tu ya Mungu ibariki Tanzania.
Ulivyo ni kama vile tunaimba nyimbo mbili kwa wakati mmoja. Nimeshuhudia mara nyingi watu wakisahau kipande cha pili Na kuishia kuimba kipande cha kwanza tu. Dunia yote ni ndugu zetu, tumeona wachina wakitusaidia kama ndugu zao kujenga TAZARA, vyuo, madaraja. Tumeona wamerikani, wajapan, wakorea, wakanada, wacuba wakitupa hiki Na kile. Lakini tuliona watu wetu wakifukuzwa Msumbiji, South Afrika, Kenya kwasababu mbalimbali hata za kipuuzi. Kama ni hivyo tuubadili wimbo tuimne "Mungu inariki Dunia, wabariki viongozi wake, ........
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tubadilishe wimbo kwani huu tumedesa one on one kutoka β€œNkosi Sikeleli.”
 
Tubadilishe wimbo kwani huu tumedesa one on one kutoka β€œNkosi Sikeleli.”
Binafsi siwalaumu walioutunga, ulitungwa enzi za akina Nkrumah wakati kuna kiu ya kuunda united states of Africa, hivyo kuna MTU alitaka sisi tuwe mfano kwenye hill. Yaani alitamani Africa yote iwe Na wimbo mmoja tu. Hivyo hakuona aibu kuiga wimbo wa ANC Na hata Zambia ikaingia kwenye mtego huo wa kuazima melody ya wimbo wa ANC ya South Africa. Tukumbuke kuwa hizi zilikuwa enzi za miziki ya akina Salimu Abdalah, Daud Kabaka, Orchestra Katitu, Na wengine ambao waliburudisha kwa magitaa hafifu Na kugonga chupa za soda kwa misumari kunogesha mziki wao.

Leo tuko wengi tuliokwenda shule mamboleo, je, wimbo wetu ubakie kama ulivyo Na kwanini?
 
Hawa hapa wenzetu
 
Attachments

  • 5 Finnish national anthem.mp4
    28 MB
P
Tunaheshimika kwasababu ya kuwa na ubeti wa Mungu ibariki Afrika kwenye wimbo wetu?
 
Mimi nina maoni tofauti kidogo nadhani kuna haja ya kuongeza ubeti wa kupigania uzalendo.. Waafrika wengi hatuna uzalendo na bara letu
Na ubeti unapaswa kuwa na maneno haya:
Alaaniwe mtu yoyote anajaribu au kuihujumu Tanzania na mali zake
Kilaaniwe mpaka kizazi chake cha nne.
Haki hulinua taifa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…