Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
MhhhNa bendera ipunguzwe rangi! Toa rangi ya blue maana tayari bahari inaonekana kwenye ramani!
Unganisha Mwanza, Geita, kagera, shinyanga, simiyu ita KANDA YA ZIWA Dar, lindi,Mtwara, Moro na pwani yenyewe ita MWAMBAO WA PWANI.
Bungeni kuwe na wawakilishi wa Kanda tu!
Aaah! Yote haya tuyaweke kwenye kundi Moja! KATIBA MPYA YENYE MENO!