Wine gani ni nzuri kwa wapendanao?

Wine gani ni nzuri kwa wapendanao?

Hivi amarula ni wine right?
No.
Amarula ni kama popo hivi, ipo kwenye wine na ipo kwenye spirit.

Cream wanayochanganya ndio inafanya inashindwa kueleweka lakini Marula ni mti wanaopenda tembo kula majani yake.
Mh! amarula ni liqueur sio wine pombe zinakuwa classified kutokana na inatengenezwa na nini, wine kwa wingi zinatengenezwa na zabibu(grapes), sikuhizi kidogo ndo wameanza Kutengeneza na apple japo si nyingi!.

Liqueur ni spirits ambazo zinakuwa zimetiwa radha na mara nyingi huwa ni tamu!. ndo hizo amarula, triple sec n.k
ila liquor ni spirits hizi hazina radha wala si tamu! ndo hizi vodka,rum, brandy n.k
 
kuna maswali mnatakiwa muulizwe kwanza!, mnapenda tamu ama isiyo tamu, mnapenda red,rose ama white mnapenda sparkling ama isiyo sparkling..?
sasa huo muongozo ndo utaenda kuchanganyua nini muambiwe vilevile yenye kilevi ama ambayo haina kilevi..?
Mkuu zifafanue basi hizi wine red, rose and white zinakuwaje, tamu sijui sparkling ni vitu gani hivi?
 
No.

Mh! amarula ni liqueur sio wine pombe zinakuwa classified kutokana na inatengenezwa na nini, wine kwa wingi zinatengenezwa na zabibu(grapes), sikuhizi kidogo ndo wameanza Kutengeneza na apple japo si nyingi!.

Liqueur ni spirits ambazo zinakuwa zimetiwa radha na mara nyingi huwa ni tamu!. ndo hizo amarula, triple sec n.k
ila liquor ni spirits hizi hazina radha wala si tamu! ndo hizi vodka,rum, brandy n.k
Nimejifunza kitu kipya mkuu
 
Mkuu zifafanue basi hizi wine red, rose and white zinakuwaje, tamu sijui sparkling ni vitu gani hivi?
hilo litakuwa ni darasa sasa!, lazima gharama zikutoke!
 
Back
Top Bottom