Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mumeamka baada ya kunyamba kitandani na hata kabla ya kupiga mswaki au kunywa staftahi, mumeshaanza kupost utumbo humu? Mpo addicted na Kenya jameni. Wake zenu bado wako kitandani asubuhi hii, badala muwape mahaba, mpo busy kupost mavi kuhusu Kenya.
Haya ni baadhi ya maeneo wanapoishi Wakenya wengi, daahh inasikitisha sana kwa kweli.View attachment 1697989
Kayole yenyewe ukiiona, utashangaa ni kwa nini The best 007 anaiita slum maana ina nyumba za matofali.Nilijua Kibera ndio Slums kwa Nairobi kumbe wana slums kibao!! Kayole nilijua kama South C kumbe ni Ushagoo!!
Ndio maana hao wachagga wanatorokea Kenya😂😂😂Hii karne ya ishirini na moja bado kuna nyumba za matope katikati mwa Mji kuu wa Tanzania wa Dodoma. Sijui mnatoa wapi ubavu huu wa kutajataja Nairobi. Ondoeni takataka katikati mwa mji mkuu wenu kabla hamjakuja hapa kujipiga kifua
View attachment 1698010
Inaonekana huu uzi umekupenya kweli kweli.Mnakula Albino asubuhi kama nyama choma na huku mpo busy kupost kuhusu Kenya
View attachment 1698015View attachment 1698016View attachment 1698017