Sio zote ulizoweka hapo ni slum wewe. Unajua hata hio Soweto wazungu wanaiita slum ila ina nyumba nyingi za matofali? Akili kichwani.
Unajua hata Brazil wana slums zinazoitwa favelas ila ni nyumba zilizojengwa na matofali na zina barabara ya lami ila wazungu bado wanaziita slums? Favela ukiileta hapa Africa mashariki basi zinawacha kuwa slums zinakuwa makaazi ya watu wa kipato cha kati.
Tazama picha za favelas uone jinsi zinafanana
View attachment 1698107
Linganisha hizi favelas za Brazil ambazo zimejengwa kwa matofali na zimepangika vizuri na hii takataka hapa chini ya Dar es Salaam
View attachment 1698114
Unaona hii picha ya Dar es salaam ni maeneo ya kipato cha kati na kunakaa kuchafu kushinda favela slum ya Brazil.
Middle class yenu ni mbaya kushinda slum ya Brazil. Point yangu ni kuwa definition ya slum huwa inabadilika kulingana na kipato cha nchi husika.