With over 2 mln Nairobians live in slums, shack houses stilll makes most of the houses

Kwa hivyo nyumba ya matope mjini Tanzania sio slum tena? Imekuwa unplanned settlement kwa sababu iko Tanzania ila nyumba za matope Kenya mnaziita slum sio?

slums is not only about building materials, it's a bundle of number of things. Spacing being a major one.
 
Thibitisha kwmb hyo picha ya pili ni Dar, alafu unasema kwmb hyo picha ya juu co slums hizo kwahiyo huoni kama hzo ni slums? Alafu mzungu kwahiyo anaipendelea Tz au sio?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hizo nyumba za Brazil ukizileta TZ zinakuwa nyumba za lower middle class. Huoni hizo nyumba za Brazil ni nzuri na zina mpangilio nzuri kushinda takataka ya Dar ambayo nimeweka hapo. Hio picha ya Dar nimeitoa kwenye google. Kwa hivyo google siku hizi inadanganya? Mkishindwa huwa mnaanza kudanganya kwamba picha fulani sio Dar es Salaam.
 

Give us the justification on what you put in here.
sasa bwana Wyatt Mathewson hii ungesemaje?
 
Kwa mbeya hii haiwezekani nusu ya nyumba ni za tope watahamisha watu wangapi
 
Kuna uzi nimeanzisha leo naona mods wameunganisha, imagine jamaa wana nyumba za tope mjini kati, yaani waza uone nyumba za tope Kenyatta avenue. Nilishangaa sana kuziona Dodoma mji wao mkuu.

Mkuu nilijua umeziona Dar-es-salaam City Center ,Kumbe Dodoma? Sheria za TZ ,Jijini hauruhusiwi kujenga Nyumba ya Chini na ndio maana ukitaka kujenga mjini lazima upeleke ramani watu wa mipango miji waipitie kwanza.
 
Mkuu nilijua umeziona Dar-es-salaam City Center ,Kumbe Dodoma? Sheria za TZ ,Jijini hauruhusiwi kujenga Nyumba ya Chini na ndio maana ukitaka kujenga mjini lazima upeleke ramani watu wa mipango miji waipitie kwanza.

Hehehehe leo mnaikana Dodoma ilhali siku zote mnasema ndio mji mkuu wenu, kawaida nyumba za kihivyo nimezoea kuziona uswazi, kwa mfano hapa Nairobi utazikuta Mathare kule uswazi lakini Dodoma nilishtuka sana kuziona mjini kati, kwanza nilidhani labda itakua maonyesho fulani ila kushtuka kumbe makazi ya watu.
 
Hahahaaa Dodoma ni mji mkuu wa kisiasa ila Mji Mkuu ni DAR!!
 
Hahahahahaha
Geza Ulole The best 007 eliakeem
Huyu Mtanzania muungwana amekiri kwamba nyumba nusu yaani 50% za nyumba zote Mbeya ni za matope. Hahaha. Kuzihamisha haitawezekana.

Nimewahi ishi mbeya,
Nyumba nyingi ni za tope, hata magorofa yale ya zamani ya uhindini yamejengwa kwa matope. Sema udongo wa mbeya ni wa tofauti sana. ni mgumu sana. kwa yeyote aliyefika mbeya atakubaliana na mimi. mkuu Bujibuji utakubaliana na mimi kuhusiana na hili, maana utakuta pagale lina miaka hata kumi, lkn halianguki tu. 🤣 🤣 🤣
 
Nani aliye upload hyo picha? Mkenya? Tangu lini Dar ikawa na dongo jekundu?
 

In the law of evidence. ukiombwa ulete ushahidi, siyo kuuliza maswali, bali ni kutoa kitu ulichoombwa kutoa.
 
Hakuna siku nyumba ya matope mjini itakosa kuwa slum.

ujue unaongea na professional guy.
Niliwahi andika hapa salient features za slums. Na tangu niziandike hapa, wale wa vile vitovuti mlivyokuwa mnavitumia hapa wakabadilisha vitu vingi sana.
 
ujue unaongea na professional guy.
Niliwahi andika hapa salient features za slums. Na tangu niziandike hapa, wale wa vile vitovuti mlivyokuwa mnavitumia hapa wakabadilisha vitu vingi sana.
Weka hapa features za slums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…