Wito: Kamati Kuu ya CCM ifunguliwe Mashitaka Mahakama Kuu kwa Kumteua Mgombea Urais aliyekosa Sifa 2015

Magufuli alisimamishwa kurudisha imani ya Lumumba na viunga vyake kwa wananchi. Kipindi kile bila yeye sijui Lumumba wangekuwa wapi.
Kwani sasa hivi wako wapi? Nasikia mama kapiga nyundo huko Marekani Mataga wametaga
 
Magufuli aliwaumiza sana wana CHADEMA mpaka leo kawaacha na makovu. Hamtamsahau, mtamkumbuka mno!
Infact aliwaondoa kwenye ramani ya siasa za Tanzania, huko mitaani hawana ushawishi kqbisa wamebaki mitandaoni tu. Hebu fikiria chama kilikua na wabunge Mia moja na ushee mpaka sasa kina mbunge mmoja tu. We unadhani kwa hali hiyo wanaweza kumpenda Magufuli? Yaani kufa tu wanaona haitoshi wanatamani wakafukue kaburi lake wamuue tena.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Sawa kabisa. Ilikuwa ajabu sana jinsi Magufuli alivyopitishwa kugombea manake hata akina Jakaya na Kinana walijuta sana baadaye. Kweli hatukupaswa kuwa na “kiongozi “ kama huyu.
 
Miongoni mwa Mashahidi anaweza kuwa Zitto Kabwe
 

Jengo lilibomolewa?
 
Jiwe umepoteza na kutesa watu weee na wewe arobaini zako zikatimia.. haya hilo li uwanja lako la ndege njoo ulichukue hatulitaki sisi...umemwachia nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…