mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Ccm si ipo na hiyo inaweza kuwepo siku zote na si mtu maana mwanzilishi wake alikufa.Yule alipaswa atawale milele Tanzania, hatutaka rais Lele mama , Ila wanachama wa CDM hawawez elewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm si ipo na hiyo inaweza kuwepo siku zote na si mtu maana mwanzilishi wake alikufa.Yule alipaswa atawale milele Tanzania, hatutaka rais Lele mama , Ila wanachama wa CDM hawawez elewa
Kwa nyie wapigaji na washambaKwa sisi wa Tanzania magu ilitakiwa atawale milele
Wabongo wavivu sn akitokea mtu atuambie ukweli tunaanza kusema ni dictator
Kwani sasa hivi wako wapi? Nasikia mama kapiga nyundo huko Marekani Mataga wametagaMagufuli alisimamishwa kurudisha imani ya Lumumba na viunga vyake kwa wananchi. Kipindi kile bila yeye sijui Lumumba wangekuwa wapi.
Kwahiyo akisema yeye ni malaika utasema ni uthibitisho wa kwamba yeye ni malaika?Fungua hii kink ya YouTube halafu ukushasikia njoo ufute pumba zako.
Tunapambana na Kamati Kuu ya ccmMtu mzima kupambana na marehemu.
Lakini hakuwa mgombea pekee katika uchaguzi wa mwaka 2015, hivyo demokasia imemruhusu kuwa raisTunapambana na Kamati Kuu ya ccm
Wala hatujabisha hilo , soma uzi ueleweLakini hakuwa mgombea pekee katika uchaguzi wa mwaka 2015, hivyo demokasia imemruhusu kuwa rais
Infact aliwaondoa kwenye ramani ya siasa za Tanzania, huko mitaani hawana ushawishi kqbisa wamebaki mitandaoni tu. Hebu fikiria chama kilikua na wabunge Mia moja na ushee mpaka sasa kina mbunge mmoja tu. We unadhani kwa hali hiyo wanaweza kumpenda Magufuli? Yaani kufa tu wanaona haitoshi wanatamani wakafukue kaburi lake wamuue tena.Magufuli aliwaumiza sana wana CHADEMA mpaka leo kawaacha na makovu. Hamtamsahau, mtamkumbuka mno!
Maza mwenyewe analalanika halafu wewe unasema Chadema....!!Magufuli aliwaumiza sana wana CHADEMA mpaka leo kawaacha na makovu. Hamtamsahau, mtamkumbuka mno!
Nimekuwekea ushahidi uliotaka mbona hujauongelea. Nipo JF toka 2012 hiyo Facebook inakuhusu wewe. Hayawani wa MwendazakeHapa ni jf sio Facebook mbwa ww
Sawa kabisa. Ilikuwa ajabu sana jinsi Magufuli alivyopitishwa kugombea manake hata akina Jakaya na Kinana walijuta sana baadaye. Kweli hatukupaswa kuwa na “kiongozi “ kama huyu.
Yule alikuwa zaidi ya dikteta aseeunaambiwa hata Wafungwa Magerezani walishangilia,
siku za mwisho mwisho akamuita Sheikh amuombee akiwa kitandami
sasa nawashangaa Maaskofu na wachungaji wanaojipendekeza walikuwa wapi
Marehemu aliharibu mnoYeye kakiri ni kichaa, hiyo ndiyo hoja. Haya mambo ya malaika ni wewe wasema. Shida wamuabuduo Mwendazake kama cotyledon wanamuona kama mungu wao
Na watu kupigwa risasi,kutekwa na kupotezwa!!Kwa sisi wa Tanzania magu ilitakiwa atawale milele
Wabongo wavivu sn akitokea mtu atuambie ukweli tunaanza kusema ni dictator
Maza mwenyewe analalanika halafu wewe unasema Chadema....!!
Miongoni mwa mambo ambayo nchi hii itajutia katika maisha yake yote yaliyosalia hapa duniani ni kuruhusu John Magufuli kuwa Rais wake , aliyoyatenda alipokuwa Rais kwa hiyo miaka mitano na Ushee kila mtu ameyaona , hakuna haja ya kuyarudia
Kabla ya kuwa Rais Magufuli alikuwa Waziri , kila mwenye macho aliona mambo aliyoyatenda akiwa Waziri , yalikuwemo Mazuri na Mabaya , huyu aliisababishia serikali hasara kwa kukamata meli ya uvuvi , hakuna aliyesahau hili , alipania kubomoa jengo la Tanesco Ubungo , akakatazwa na Mizengo Pinda , lakini alipotwaa madaraka akalibomoa , wala barabara iliyojengwa haikufika hata ulipokuwa ukuta wa Jengo hilo , hakuwa na sababu yoyote ya kulibomoa zaidi ya ile "UNANIJUA MIMI NI NANI"
Magufuli hakuwahi kuwa muumini wa Demokrasia kuanzia jimboni kwake , mara zote alifanya njama ili apite bila kupingwa , Uongozi ni jambo la Pamoja , yeye aliamini kwenye akili yake tu , haya yote viongozi wake wa chama waliyajua .
Ziara ya Marekani ya Rais Samia imeweka wazi yale yote tuliyokuwa tunayatilia shaka , Ripoti ya CAG imeonyesha wazi kwamba Magufuli hakuwahi kuwa Mlinzi wa rasilimali za Taifa kama tulivyodhani , alitudanganya na Ukuta wa Mererani huku madini yakiibwa !
Kwa kufupisha , Natoa wito kwa Wadau wote wenye uchungu na nchi hii KUWAFUNGULIA MASHITAKA JAKAYA KIKWETE , ABDULRAHMAN KINANA , waliokuwa viongozi wa juu wa ccm na Kamati Kuu ya Chama hicho kwa kuruhusu John Magufuli kugombea Urais wa Tanzania huku wakijua kwamba ana Mapungufu ya kutisha .
Nakala : Peter Kibatala