Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

V
Video nimeitazama.. ile video imepigwa reverse effect ila kwasababu ya ujinga wako wa kutokuelewa haya mambo umekuja na bandiko refu ili kuthibitisha upumbavu wako... Tanzania ina watu wa ajabu kweli kweli
 
We mkia acha kulialia apa, timu lako linaamini uchawi sana
 
V

Video nimeitazama.. ile video imepigwa reverse effect ila kwasababu ya ujinga wako wa kutokuelewa haya mambo umekuja na bandiko refu ili kuthibitisha upumbavu wako... Tanzania ina watu wa ajabu kweli kweli

Kama imepigwa kwa REVERSE EFFECT, kwanini lionekane GARI MOJA TU ndo linaenda kinyumenyume ila mengine yanaenda kawaida..???

Naomba ufafanuzi mfupi tu….!!
 
V

Video nimeitazama.. ile video imepigwa reverse effect ila kwasababu ya ujinga wako wa kutokuelewa haya mambo umekuja na bandiko refu ili kuthibitisha upumbavu wako... Tanzania ina watu wa ajabu kweli kweli
Acha upuuzi ndugu mbumbumbu.
 
Na askari wote waliokuwa katika barabara ambazo basi hilo lilipita wachukuliwe hatua kali za kinidhamu ikiwemo ya kufutwa kazi kwa kuhatarisha maisha ya abiria pamoja na watumiaji wengine wa barabara!
 
V

Video nimeitazama.. ile video imepigwa reverse effect ila kwasababu ya ujinga wako wa kutokuelewa haya mambo umekuja na bandiko refu ili kuthibitisha upumbavu wako... Tanzania ina watu wa ajabu kweli kweli
Acha ujinga wako hapa! Kwa nini magari yaliyokuwa yanalifuata basi hilo yalikuwa yalikuwa yanaenda kwa mbele?
 
Hii siyo kweli,kwanza basi la Simba kwa sasa sio linaloonekana kwenye hiyo video
Mkuu, tumeshaambiwa ni Manara ndiye aliye post hiyo habari na picha. Mi nilitegemea member mbalimbali wa hapa JF, waliopo huko Duniani (Dar), watakuwa waliona tukio hilo, ambao ndio watuthibitishie hili. Sidhani kama hilo tukio aliliona Manara peke yake!
 
V

Video nimeitazama.. ile video imepigwa reverse effect ila kwasababu ya ujinga wako wa kutokuelewa haya mambo umekuja na bandiko refu ili kuthibitisha upumbavu wako... Tanzania ina watu wa ajabu kweli kweli
Mpumbavu mwenyewe ambaye hata macho ya kutazama picha kwa umaskini yana matege kenge mmoja ww
 
Subiria kioja cha yanga leo
 
Tukiondoa ushabiki wa simba na Yanga; bado tunatakiwa kuwa wakweli! Kitendo alichokifanya yule dereva, kama hakukuwepo na editing ya aina yoyote ile; hakikuwa na mashiko.

Hakuwa na sababu ya kurudi nyuma kwa umbali mrefu vile kana kwamba alikuwa anafukuzwa na magaidi, au majambazi. Siku zote gari linatembea kwa kwenda mbele, na siyo kwa kurudi nyuma.
 
Tukiondoa ushabiki wa simba na Yanga; bado tunatakiwa kuwa wakweli! Kitendo alichokifanya yule dereva, kama hakukuwepo na editing ya aina yoyote ile; hakikuwa na mashiko.
Video iko wapi nasi tuchangie hojaa
 
V

Video nimeitazama.. ile video imepigwa reverse effect ila kwasababu ya ujinga wako wa kutokuelewa haya mambo umekuja na bandiko refu ili kuthibitisha upumbavu wako... Tanzania ina watu wa ajabu kweli kweli
kama reverse effects mbona gari zingine zinaenda kawaida mbele yake kuna bajaji ya mizigo yenyewe haipo reverse?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…