Hahaa kwani stars imefungwa?
Mkuu toka lini ukaona mkuu wa shirikisho la mpira akajiuzuru kisa timu imefungwa?
Hapa wakulalamikiwa ni wachezaji , hata angekuwa Morinho hii timu kufungwa ingefungwa tu.
Wapeleke maombi FIFA wasipangiwe mechi yoyote ndani ya miaka miwili ili wajitazame kwanza
mfumo wote wa soka ufumuliwe, tutabadilisha makocha hadi mourinho atakuja lakini tutafeli. Mfano kama jana tungeshinda au droo wote tungesahau kuwa mpira wetu ni mbovu kupita kiasi.
Malinzi apewe assignment ya kukaa na watu wake atuletee Roadmap ya soka tanzania. Hatutaki matokeo ya kimsisimko tunataka mfumo imara wa kisoka na endelevu.
Hawa wachezaji na kocha wao pamoja na malinzi hawana strategies za ushindi wapo pale kama kutega hela washindwe wasishindwe wanapata yaoNadhani issue si kujiuzuru anatakiwa aoneshe kuchukizwa na matokeo haya na achukue hatua Amfukuze huyu Kocha mara moja amrudishe Kim Poulsen haraka sana aichukue timu kujiandaa na mechi ya Nigeria na kwa Kim itakuwa kazi rahisi maana sehemu kubwa ya wachezaji wenye viwango vya kuchezea Taifa Stars kipindi hiki kawatengeneza yeye.