OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wao ndio wanatakiwa walindwe, sio waangaliwe wanachofanyaWawa na Chama waanaokanyaga wenzao makusudi mbona huwasemi
sometimes tumia akili basi bro,sio unapinga kila kituWawa na Chama waanaokanyaga wenzao makusudi mbona huwasemi
Mtoa mada hajasema kiushabiki ila wewe unakuja kwa povu tu za maumivu ya huko uliko.Wawa na Chama waanaokanyaga wenzao makusudi mbona huwasemi
Hata wachezaji wa yanga pia wanakanyagwa sana,angalia tusila kisinda na calinya wanavyokanyagwa kwa makusudi kabisaNimetazama mechi kadhaa za Simba Sc ,hususani mechi VPL ninaona dalili za njama za kumuumiza Benard Morrison.
Faulo anazochezewa ni faulo zenye lengo zaidi ya joto la uwanjani. Kuna kitu sio bure. Jana katika mechi ya JKT alifanyiwa,haikutosha yule mchezaji wa JKT akamkanyaga mkononi kwa makusudi.
Wito wangu kwa marefa ni kwamba huyu dogo anahitaji kulindwa na kuangaliwa kwa karibu sana. Ulinzi kama huo hutolewa hata katika mechi za wenzetu hasa kwa mastaa ambao huonekana kukamiwa na timu pinzani.
Sio Morrison pekee,wapo kina Miqsonne, Bwalya, Chama na Tuisila Kisinda nk
Wawa na Chama waanaokanyaga wenzao makusudi mbona huwasemi
Saa zingine tupunguze mahaba ya usimba na uyanga tuzungumzie mpira. Huyo Morrison akiwa Yanga alikuwa anachezewa rafu za ajabu kana kwamba Kama vile mabeki wanamkamia makusudi ili aumie hasa pale baada ya kupewa sifa kuwa Morrison ni fundi (baada ya mechi ya Singida vs Yanga) unataka kuniambia Simba walikuwa wanahusika kutoa ela ili Morrison aumizwe?
wapuuzi tu hao wanaofanya hivyo, mbona hawamfanyii ujinga huo mugalu
πππ Haya ni mahaba yaliyopitiliza.Wao ndio wanatakiwa walindwe, sio waangaliwe wanachofanya
Wawa alivyomchezea vibaya Nchimbi mlikuja kupiga kelele kama hizi? Hizo ndio changamoto mojawapo katika mchezo wa mpira wa miguu, kuchezeana vibaya hakuepukiki kwasababu kila mtu damu inachemka ukijumlisha na tensheni ya mchezaji husika. Kama swala la kulinda wachezaji basi ni wajibu wa refa kulinda wachezaji wa timu zote za ligi kuu na ligi za daraja za chini. Kusema eti wachezaji fulani alindwe hilo ni kama kutengeneza namna refa wambebe wachezaji fulani wa timu fulani huku wengine ni ruksa kukwatulia. Mpira ni mchezo wa haki kwa kila mchezajiSaa nyingine uwe unatumia akili hata kidogo. Kuna sehemu mtoa mada kasema Yanga wanahusika na kulipa watu wamuumize BM33? Hapo huoni sasa ndo unatupa jambo jipya?mtoa mada kazungumza general wewe unakuja specifically.
Kama Yanga hamkuona sababu ya kumlinda mchezaji wenu Simba tunaona ipo sababu. Mpira ni upendo na amani, ni furaha.si mashabiki kupigana au kupiga wenzao.si wachezaji kufanyiana faulo za kishetani.
Wawa alivyomchezea vibaya Nchimbi mlikuja kupiga kelele kama hizi? Hizo ndio changamoto mojawapo katika mchezo wa mpira wa miguu, kuchezeana vibaya hakuepukiki kwasababu kila mtu damu inachemka ukijumlisha na tensheni ya mchezaji husika. Kama swala la kulinda wachezaji basi ni wajibu wa refa kulinda wachezaji wa timu zote za ligi kuu na ligi za daraja za chini. Kusema eti wachezaji fulani alindwe hilo ni kama kutengeneza namna refa wambebe wachezaji fulani wa timu fulani huku wengine ni ruksa kukwatulia. Mpira ni mchezo wa haki kwa kila mchezaji
Sawa mkuu mimi mpumbavu wewe mwelevu. Kila la kheri, sijafunzwa kutoa maneno ya kejeli na dhihaki kwa mtu wa aina yeyote yule. Niishie kusema kuwa kila la kheri mkuuKama wewe hukupiga kelele si sababu ni mpumbavuh na kwa upumbavuh wako uliona ni sahihi. Sisi werevu unaona si sawa.si kitendo kinachofaa
unaposema HATA una maana gani?kwani mimi nimesema niniHata wachezaji wa yanga pia wanakanyagwa sana,angalia tusila kisinda na calinya wanavyokanyagwa kwa makusudi kabisa
nilivyoona umeitwa mpumbavu niliona sio sawa,ila niliporudi kusoma nimejiridhisha hutumii akili. kwani hapa tumesema nini. Nchimbi alikanyangwa Wawa watu hawakupiga kelele? au mpaka niseme mimi?au kama haikusemwa ndio iwe ndo utaratibu?Wawa alivyomchezea vibaya Nchimbi mlikuja kupiga kelele kama hizi? Hizo ndio changamoto mojawapo katika mchezo wa mpira wa miguu, kuchezeana vibaya hakuepukiki kwasababu kila mtu damu inachemka ukijumlisha na tensheni ya mchezaji husika. Kama swala la kulinda wachezaji basi ni wajibu wa refa kulinda wachezaji wa timu zote za ligi kuu na ligi za daraja za chini. Kusema eti wachezaji fulani alindwe hilo ni kama kutengeneza namna refa wambebe wachezaji fulani wa timu fulani huku wengine ni ruksa kukwatulia. Mpira ni mchezo wa haki kwa kila mchezaji
Mkuu itoshe tu kukushukuru kuwa mimi ni mpumbavu. ila wewe uliyemlinganisha uwezo wa Samata dhidi ya Luis Miquissone ni mwelevu sana.nilivyoona umeitwa mpumbavu niliona sio sawa,ila niliporudi kusoma nimejiridhisha hutumii akili. kwani hapa tumesema nini. Nchimbi alikanyangwa Wawa watu hawakupiga kelele? au mpaka niseme mimi?au kama haikusemwa ndio iwe ndo utaratibu?