Wito kwa referees: B. Morison na wenzake wanahitaji kulindwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nimetazama mechi kadhaa za Simba Sc ,hususani mechi VPL ninaona dalili za njama za kumuumiza Benard Morrison.

Faulo anazochezewa ni faulo zenye lengo zaidi ya joto la uwanjani. Kuna kitu sio bure. Jana katika mechi ya JKT alifanyiwa,haikutosha yule mchezaji wa JKT akamkanyaga mkononi kwa makusudi.

Wito wangu kwa marefa ni kwamba huyu dogo anahitaji kulindwa na kuangaliwa kwa karibu sana. Ulinzi kama huo hutolewa hata katika mechi za wenzetu hasa kwa mastaa ambao huonekana kukamiwa na timu pinzani.

Sio Morrison pekee,wapo kina Miqsonne, Bwalya, Chama na Tuisila Kisinda nk
 
Kitendo cha jana Morrison kukanyagwa maksudi wakati alishaanguka chini,na mwamuzi kukichukulia poa,ni hatari sana kwani inatia shaka kwamba nyuma ya matukio hayo huenda kuna mkono wa adui.
 
Saa zingine tupunguze mahaba ya usimba na uyanga tuzungumzie mpira. Huyo Morrison akiwa Yanga alikuwa anachezewa rafu za ajabu kana kwamba Kama vile mabeki wanamkamia makusudi ili aumie hasa pale baada ya kupewa sifa kuwa Morrison ni fundi (baada ya mechi ya Singida vs Yanga) unataka kuniambia Simba walikuwa wanahusika kutoa ela ili Morrison aumizwe?
 
wapuuzi tu hao wanaofanya hivyo, mbona hawamfanyii ujinga huo mugalu
 
Nimetazama mechi kadhaa za Simba Sc ,hususani mechi VPL ninaona dalili za njama za kumuumiza Benard Morrison.

Faulo anazochezewa ni faulo zenye lengo zaidi ya joto la uwanjani. Kuna kitu sio bure. Jana katika mechi ya JKT alifanyiwa,haikutosha yule mchezaji wa JKT akamkanyaga mkononi kwa makusudi.

Wito wangu kwa marefa ni kwamba huyu dogo anahitaji kulindwa na kuangaliwa kwa karibu sana. Ulinzi kama huo hutolewa hata katika mechi za wenzetu hasa kwa mastaa ambao huonekana kukamiwa na timu pinzani.

Sio Morrison pekee,wapo kina Miqsonne, Bwalya, Chama na Tuisila Kisinda nk
Hata wachezaji wa yanga pia wanakanyagwa sana,angalia tusila kisinda na calinya wanavyokanyagwa kwa makusudi kabisa
 
Saa nyingine uwe unatumia akili hata kidogo. Kuna sehemu mtoa mada kasema Yanga wanahusika na kulipa watu wamuumize BM33? Hapo huoni sasa ndo unatupa jambo jipya?mtoa mada kazungumza general wewe unakuja specifically.

Kama Yanga hamkuona sababu ya kumlinda mchezaji wenu Simba tunaona ipo sababu. Mpira ni upendo na amani, ni furaha.si mashabiki kupigana au kupiga wenzao.si wachezaji kufanyiana faulo za kishetani.

Saa zingine tupunguze mahaba ya usimba na uyanga tuzungumzie mpira. Huyo Morrison akiwa Yanga alikuwa anachezewa rafu za ajabu kana kwamba Kama vile mabeki wanamkamia makusudi ili aumie hasa pale baada ya kupewa sifa kuwa Morrison ni fundi (baada ya mechi ya Singida vs Yanga) unataka kuniambia Simba walikuwa wanahusika kutoa ela ili Morrison aumizwe?
 
Saa nyingine uwe unatumia akili hata kidogo. Kuna sehemu mtoa mada kasema Yanga wanahusika na kulipa watu wamuumize BM33? Hapo huoni sasa ndo unatupa jambo jipya?mtoa mada kazungumza general wewe unakuja specifically.

Kama Yanga hamkuona sababu ya kumlinda mchezaji wenu Simba tunaona ipo sababu. Mpira ni upendo na amani, ni furaha.si mashabiki kupigana au kupiga wenzao.si wachezaji kufanyiana faulo za kishetani.
Wawa alivyomchezea vibaya Nchimbi mlikuja kupiga kelele kama hizi? Hizo ndio changamoto mojawapo katika mchezo wa mpira wa miguu, kuchezeana vibaya hakuepukiki kwasababu kila mtu damu inachemka ukijumlisha na tensheni ya mchezaji husika. Kama swala la kulinda wachezaji basi ni wajibu wa refa kulinda wachezaji wa timu zote za ligi kuu na ligi za daraja za chini. Kusema eti wachezaji fulani alindwe hilo ni kama kutengeneza namna refa wambebe wachezaji fulani wa timu fulani huku wengine ni ruksa kukwatulia. Mpira ni mchezo wa haki kwa kila mchezaji
 
Kama wewe hukupiga kelele si sababu ni mpumbavuh na kwa upumbavuh wako uliona ni sahihi. Sisi werevu tunaona si sawa.si kitendo kinachofaa

Wawa alivyomchezea vibaya Nchimbi mlikuja kupiga kelele kama hizi? Hizo ndio changamoto mojawapo katika mchezo wa mpira wa miguu, kuchezeana vibaya hakuepukiki kwasababu kila mtu damu inachemka ukijumlisha na tensheni ya mchezaji husika. Kama swala la kulinda wachezaji basi ni wajibu wa refa kulinda wachezaji wa timu zote za ligi kuu na ligi za daraja za chini. Kusema eti wachezaji fulani alindwe hilo ni kama kutengeneza namna refa wambebe wachezaji fulani wa timu fulani huku wengine ni ruksa kukwatulia. Mpira ni mchezo wa haki kwa kila mchezaji
 
Kama wewe hukupiga kelele si sababu ni mpumbavuh na kwa upumbavuh wako uliona ni sahihi. Sisi werevu unaona si sawa.si kitendo kinachofaa
Sawa mkuu mimi mpumbavu wewe mwelevu. Kila la kheri, sijafunzwa kutoa maneno ya kejeli na dhihaki kwa mtu wa aina yeyote yule. Niishie kusema kuwa kila la kheri mkuu
 
Wawa alivyomchezea vibaya Nchimbi mlikuja kupiga kelele kama hizi? Hizo ndio changamoto mojawapo katika mchezo wa mpira wa miguu, kuchezeana vibaya hakuepukiki kwasababu kila mtu damu inachemka ukijumlisha na tensheni ya mchezaji husika. Kama swala la kulinda wachezaji basi ni wajibu wa refa kulinda wachezaji wa timu zote za ligi kuu na ligi za daraja za chini. Kusema eti wachezaji fulani alindwe hilo ni kama kutengeneza namna refa wambebe wachezaji fulani wa timu fulani huku wengine ni ruksa kukwatulia. Mpira ni mchezo wa haki kwa kila mchezaji
nilivyoona umeitwa mpumbavu niliona sio sawa,ila niliporudi kusoma nimejiridhisha hutumii akili. kwani hapa tumesema nini. Nchimbi alikanyangwa Wawa watu hawakupiga kelele? au mpaka niseme mimi?au kama haikusemwa ndio iwe ndo utaratibu?
 
Mkuu itoshe tu kukushukuru kuwa mimi ni mpumbavu. ila wewe uliyemlinganisha uwezo wa Samata dhidi ya Luis Miquissone ni mwelevu sana.
 
Back
Top Bottom