OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimetazama mechi kadhaa za Simba Sc ,hususani mechi VPL ninaona dalili za njama za kumuumiza Benard Morrison.
Faulo anazochezewa ni faulo zenye lengo zaidi ya joto la uwanjani. Kuna kitu sio bure. Jana katika mechi ya JKT alifanyiwa,haikutosha yule mchezaji wa JKT akamkanyaga mkononi kwa makusudi.
Wito wangu kwa marefa ni kwamba huyu dogo anahitaji kulindwa na kuangaliwa kwa karibu sana. Ulinzi kama huo hutolewa hata katika mechi za wenzetu hasa kwa mastaa ambao huonekana kukamiwa na timu pinzani.
Sio Morrison pekee,wapo kina Miqsonne, Bwalya, Chama na Tuisila Kisinda nk