Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Yeye hana bando?Bila shaka hajaziona na hawamwambii ukweli ikiwemo tume.
Yani zile video kwamba hajaziona?Bila shaka hajaziona na hawamwambii ukweli ikiwemo tume.
Akiondoka madarakani nae atasema kama Mpaka.Hizo ni kelele ,yule anaendelea na maisha yake..Hakuna Rais asiyejua changamoto zake ,kelele zinapigwa kwa vile hawezi kumridhisha kila mtu..
Ilishapita ,usidanganywa na ujinga ..Watu wanaishi mara moja tu ,hta afe waliokufa hawarudi...Siku nyingine hamtoita watu mashekhe ubwabwa ,mna dharau sana halafu mnaleta huruma.😝Akiondoka madarakani nae atasema kama Mpaka.
Watu wanakufa, watu wanazaliwa, ila nyuma ya tunachokiona ,kila tukio linabadili hali kwake, Kwetu au kwa Taifa.Ilishapita ,usidanganywa na ujinga ..Watu wanaishi mara moja tu ,hta afe waliokufa hawarudi...Siku nyingine hamtoita watu mashekhe ubwabwa ,mna dharau sana halafu mnaleta huruma.😝
Wote tutakufa ,kifo sio adhabuWatu wanakufa, watu wanazaliwa, ila nyuma ya tunachokiona ,kila tukio linabadili hali kwake, Kwetu au kwa Taifa.
"To every action there is equal and opposite reaction"
Yale mauaji ni pigo kubwa kwa Tunu zetu kama Taifa.Wote tutakufa ,kifo sio adhabu
.Ni ujinga kuwaza eti kufa ni adhabu ila kufa kizembe ni kujitakia.
Chura kiziwi anayeleta waganga sijui kutoka Comoro, anadhani ana akili kumbe matope kichwani. Anafurahia kuua fala huyo. HATUMTAKIMama nimetazama tena zile video za “Kazi Yako” ya Tarh 29/10/2025 nikasema hadharani unaonekana upo Imara lakini nadhani ukibaki peke yako katika faragha zako bila shaka unailaani siku waliyokupa Urais.
Nimetazama zile video na nikashuhudiwa wazi wazi moyoni kwamba pengine EL NINO inayotangazwa sana na wapambe wako si mvua kama mvua za kawaida tunayoitarajia bali ni balaa kubwa litakalokukumba wewe kwa mara nyingine tena na nchi kwa ujumla; I see some ominous & menacing clouds hovering above Mama.
Nimepata pia wazo kuwa ni heri ile Tuzo ya European Union waliyoshinda ICC hapa majuzi ingekuwa heri kwako kama angeshinda Lissu kuliko walivyoshinda ICC. Napata hisia ICC watataka kuonyesha kuwa taasisi yao bado iko relevant. Pole sana Bi Mkubwa hapo mbele panaonekana kugumu mno. Sorry😢
Waliofanikisha ule ushindi wa kishindo wa 98% ndo walimpeleka kuapishwa kule ngomeni.Hamna Raha kama ile unaapishwa kwenye uwanja wa Benjamin mkapa upo full house halafu unakula kiapo cha kutongoza nchi huku ukishangiliwa kwa zile kelele ,vifijo na nderemo....Mambo ya kwenda kuapishwa kwenye viwanja vya JW binafsi ilinipa tafakuri kubwa .. anyway I don't,we don't know and we'll never know exactly who proposed the idea kwenda kuapishwa huko with limited number of participants