PostGE2025 Wito kwa Samia: Kama unaweza Mama nakushauri tembelea page ya Mange X halafu tafuta faragha fanya Ibada

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hizo ni kelele ,yule anaendelea na maisha yake..Hakuna Rais asiyejua changamoto zake ,kelele zinapigwa kwa vile hawezi kumridhisha kila mtu..
Sionkwa yale mauaji yanatisha mweee...!
Hata kama mtu unaroho ngumu kiasi gani ukipita kwenye page ya mange lazima kuna uchungu utapata moyoni😢😢😢

Uyo mama yenu aombe sana toba😢

 
Bila shaka hajaziona na hawamwambii ukweli ikiwemo tume.
Yani zile video kwamba hajaziona?
Sio kwamba hajaziona, ni kaziona vizuri sana ila yeye akiwa kama mhusika mkuu. Itakuwa ameziona chache sana, hawezi kupata ujasiri huo wa kuangalia kila video zile alafu wewe ndo chanzo unaweza ukawa unalia mwezi mzima🙌🙌🙌😢

Kwa ule unyama ili mbidi tu ajirudi kwa wananchi badala ya kushikilia michambo na naneno ya dharau kwa wananchi wote

Na IQ yake ilivyo ndogo anahisi kila anayemkosoa ni chadema🚮😂
 
Acha unafiki , mnaacha kusaidia mafukara, wajane na walemavu ..Mnangoja wafe ili mfanye kama agenda , watu wangapi wazazi wao wameshakufa , ajali kila siku ..Maiti sio ajabu , mimi naziosha sana labda wewe!

Mnachochea watoto wa watu badala mtulie , wakipata madhara mnakuja tena ..Hao machawa wote humu wa CDM hakuna aliyeandaman , kazi kujifanya wajuaji ..Nchi hii mkileta ubishi mtaendelea kufa kwa ujinga, unakumbuka chini walivyosagwa? mpaka leo kila mtu na mishe zake hakuna ujinga wa kuandamana na kufanya fujo ..Hapa hamtorudia tena .
 
Ulishawahi kumbana paka kwenye Kona akose njia yoyote ya kujitetea ?
ndivyo hali ilivyo Kwa watawala sasa

Kama huna pumzi ya kutosha kama akina Heche na Lisu usijaribu kuchezea paka aliyebanwa kwenye Kono anakuwa chui

Hapo paka anajua either afe yeye au ufe wewe Kwa kurukia kwenye koo yako
 
Yaan huyo mama yenu hata akishamaliza mda wake hatokuwa na zile kumbukumbu zitakazomfanya ajivunie kipindi chake.
Kwanz kabisa ni raisi wa kwanz ambaye awamu zote mbili hajaapishwa mbele ya wananchi wake.

Alaf kila uapisho wake ni majonzi tu 2021 kulikuwa na vilio vya kifo cha magu😢.

Anyway, tuishi kwa kumpendeza Mungu...
 
Huo ufakara wa wananchi umesababishwa nani Nini kwenye nchi ya madini adimu duniani

Tofautisha kufa na kuuwawa
 
Huo ufakara wa wananchi umesababishwa nani Nini kwenye nchi ya madini adimu duniani

Tofautisha kufa na kuuwawa
KUna nchi haina mafukara , kijana fanya kazi ...Matapeli wakubwa , mnachukua sadaka za masikini kujenga hospitl halafu wakifika mnataka pesa kubwa ..Wewe na kanisa lako mnafanya watu maskini ,nyie wachache tena hamna hata familia mnaneemeka kwa pesa za watu wa chini kabisa .

Huduma mnazojenga , hamna hata huruma kutoa bure kwa mayatima , kazi kuabudu pesa na ushamba .
 
 
Uzuri nnachojuwa ni kwamba hata wewe unajuwa kwamba wanaoogopa maandamano hivi sasa ni watawala sio wananchi.

Halaf boss, weka uchawa pembeni kwanza. Nadhani hakuna mtu wako wa karibu aliyepatwa na majanga masiku yale🥺

Unavyojitoa akili utadhani haufahamu kwamba asilimia kubwa ya watu aliowaua ⏱️💯 walikuwa majumbani mwao na watoto wadogo.

Usiuze utu wako kwa ajili ya pesa bwana mdogo🚮🚮🚮
 
Ukileta uscenge kwa jamhuri utaionja shubiri,poteza mbulukenge kadhaa nchi ikae sawa
 
Porojo toka kwa keyboard warrior
 
Haiishi mpaka iishe
 
Ningekuwa mimi, kwa hali ilivyo sasa, ningefanya press na waandishi wa habari wa kitaifa, kikanda na Kimataifa na kufanya yafuatayo:-
1. Kuwaachia wafungwa na mahabusu wote wa kesi zenye mwelekeo wa kisiasa.
2. Kupiga marufuku kali askari yeyote kuwabugudhi Watanzania na wanasiasa wa vyama vyote bila sababu za Msingi.
3. Ningetoa wiki mbili Watanzania waniseme kwa kiwango chochote kile na wasichukuliwe hatua yoyote ile, lengo likiwa ni kuwafanya wapumue na kutoa hasira zao juu yangu.
4. Ningepiga marufuku UCHAWA wa aina yoyote ile kuanzia Bungeni hadi mitaani.
5. Baada ya kufanya hayo hapo juu, ningeomba msamaha kwa Mungu na kwa Watanzania kutokana na hali ilivyo.
6. Ningewaita Commonwealth, AU, EAC nk. ili wasimamie maridhiano.
Naamini kwa kufanya hivyo nitakuwa:-
1. Nimerudisha imani kwa Watanzania na Jamii ya Kimataifa achilia mbali kwa Mungu wangu.
2. Nimepunguza sana chuki kati yangu na Watanzania na Jamii ya Kimataifa.
Kwa ujumla, ningefungua ukurasa mpya kabisa wa matumaini ambao Marais wote nyuma yangu hawajawahi kufanya.
 
Tatizo chura ni kiziwi, labda atafutwe mtu wa kumpa ishara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…