Pre GE2025 Wito kwa wanachama wa CCM wote humu jukwaani kuelekea uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
UKIWEKA NAMBA ZAKO ZA SIMU JIANDAE NA WEWE TUKUFANYE KAMA NAPE
nipo hapa kwa Neema na Baraka za Mungu shetani,

Comrade Nape Nauye hakuna kitu mmefanya na wala mimi hakuna kitu mtu atafanya dhidi yangu..


ni kiongozi mtumishi muwajibikaji, leo naweza kua mtendaji serikali kuu au kwenye chama na kesho nikapisha wengine wengine waendeleze gurudumu,

nini iko mbaya? au hasira na hayo makasiriko ni ya nini shetani?πŸ’

by the way nakushukuru kwa kuzingatia wito na maelekezo kwa wana CCM kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu...

zaidi sana asant sana kumuunga mkono kiongozi wetu mkuu wa chama na serikali sikivu ya CCM Dr.Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
nikuhakikishie tu,
Chaguzi zote zijazo ni huru, haki na wazi,

ndugu mwananchi acha imani potofu na wala usipoteze fursa hii adhimu ya kuchagua viongozi uwapendao kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka ujao πŸ’

hakuna haja kuwakebehi na kuwadhihaki wananchi na waTanzania watakaojitokeza kutumia haki yao ya kikatiba kwenye uchaguzi,

hata hivyo asant kwa kufuatilia wito kwa wana CCM na kumuunga mkono Dr Samia Suluhu Hassan katika jitihada za makusudi za serikali yake kuwaletea maendeleo waTanzania πŸ’
 

Narudia tena, chaguzi zetu ni ushenzi kama ushenzi mwingine, wenye muda wa kupoteza ndio watajitokeza kushiriki chaguzi hizo. Rejea kura sio issue, bali issue ni muhesabu kura.
 
Kwenu hakuna Demokrasia? Mgombea lazima awe mmoja?
 
shukrani sana kwa kuchukua muda wako kufuatilia kwa karibu sana mambo ya CCM,

asanti sana kuiunga mkono CCM, asant sana kwa kumuunga mkono Dr Samia Suluhu Hassan katika jitihada za makusudi kuwaletea maendeleo waTanzania πŸ’
Nani awaungengeni nyie mkono.
 
Narudia tena, chaguzi zetu ni ushenzi kama ushenzi mwingine, wenye muda wa kupoteza ndio watajitokeza kushiriki chaguzi hizo. Rejea kura sio issue, bali issue ni muhesabu kura.
Na baadaa ya kukamilisha uhesabuji anasema Mungu unisamehe.
 
Kwenu hakuna Demokrasia? Mgombea lazima awe mmoja?
sio Lazima,
CCM ndio Chama kinara wa demokrasia Africa..

labda vyama vingine ndio hakuna Demokrasia, maana Mwenyekiti wa Chama tangu kimeanzishwa ni huyo huyo tu πŸ’
 
Naomba msaada jinsi ya kuilipia ada ya mwanachamq
 
Dr. Samia Suluhu Hassan,
anakubalika, anapendwa, anaaminika na wananchi wote, kitaifa na kimataifa. kama wanachama tuna haki na wajibu wakujivunia mama huyu shupavu na madhubuti kipenzi cha waTanzania.
kuna gazeti lilionyesha kipenzi cha watanzania ni marehemu
 
Inategemea Unamwomba Mungu msamaha kwa kosa la kukusudia ama kwa udhaifu wa kibinaadamu.
ulikusudia kwenda Ibadan njiani ukashawishika kwenda kilabuni kupiga gambe, utaomba aina gani ya msamaha?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…