Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
era yake ila asilimia za nani anapendwa zinaenda kwa mtu aliekufandio hivyo gentleman, this is Dr Samia Suluhu Hassan era 🐒
tatizo lako ni dogo sana,Narudia tena, chaguzi zetu ni ushenzi kama ushenzi mwingine, wenye muda wa kupoteza ndio watajitokeza kushiriki chaguzi hizo. Rejea kura sio issue, bali issue ni muhesabu kura.
Hapo dawa wakamatie chain ya gari ya ulabu kabla ya kuchelewa ,zaidi ama ndio waliwa vichwa?
Mungu ni Mungu tu,Ambaye ni 'mungu' kwako kama inavyoonyesha katika maandiko yako yote humu JF!
Bila huyu huna maisha kabisa?
Hii ni zaidi ya kujidhalilisha.
Tupo mkuuHivi ukiache wabunge, madiwani na mawaziri hivi mpaka leo bado kuna watu ni wanachama wa hiki chama?
Huyu 'mungu' wenu ni kama hana uwezo wa kuona unafiki mwingi ulio wajaa rohoni na vichwani mwenu.Mungu ni Mungu tu,
hafananishwi na chochote...
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu Dr Samia Suluhu Hassan analiongoza taifa kwa upendo mkubwa sana...
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu mimi na wewe tunajadiliana haya yote kwa upendo...
Nafurahi,
Kwa Neema na Baraka za Mungu waTanzania wote kwa Umoja wao wanamuunga mkono kwa dhati sana uongozi makini wa Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒
haya mbona ndiyo haya haya mfanyayo kila sehemu, hadi humu JF. Mfano mzuri ni wewe.ulikusudia kwenda Ibadan njiani ukashawishika kwenda kilabuni kupiga gambe, utaomba aina gani ya msamaha?🐒
by the way sisi ni wa Mungu,Huyu 'mungu' wenu ni kama hana uwezo wa kuona unafiki mwingi ulio wajaa rohoni na vichwani mwenu.
Huyu ni 'mungu' wa ajabu sana. Mnafanya mauchafu yote, halafu mnakimbilia kumweka huyo 'mungu' mbele!
Utaimba sana hizi nyimb safari hii,; lakini hata huyo 'mungu' kachoka kusikiliza upumbavu.by the way sisi ni wa Mungu,
huyo 'mungu' wenu bakini nae tu maana hirizi wengine hatuziwezi...
Neema na Baraka za Mungu zinatosha kwa Dr Samia Suluhu Hassan kuongeza taifa kwa weledi na amani,
na sisi wasaidizi wake Neema na Baraka za Mungu zinakusaidia katika kutekeleza malekezo na mipango yake kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
sure mimi ni miongoni mwa mifano bora sana ya kuigwa na makundi yote ya kijamii,haya mbona ndiyo haya haya mfanyayo kila sehemu, hadi humu JF. Mfano mzuri ni wewe.
Mungu ni wa wote, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema...Utaimba sana hizi nyimb safari hii,; lakini hata huyo 'mungu' kachoka kusikiliza upumbavu.
Kiyama kitakapo wasili utaulizwa uchafu ulio changia kuwaumiza waTanzania.sure mimi ni miongoni mwa mifano bora sana ya kuigwa na makundi yote ya kijamii,
ni msema ukweli, muwazi, muungwana, mkarimu mwenye bidii, asie choka wala kukata tamaa...
mnyonge mwenye upendo, msikivu mstahimilivu sana.
na hayo ni kwa uchache tu,
Na ni kwa Neema na Baraka za Mungu naweza kuyaishi yote haya 🐒
Hakuna huyo Mungu asiyeipenda Tanzania, kiasi cha yeye kuwapa kiongozi mbovu kama huyo. Huyo unaye mzungumzia ni huyo aliyeko akilini mwako, akili ambayo ni dhahiri haipo sawasawa kama inavyoonyesha kila sehemu ya maandishi yako.Mungu ni wa wote, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema...
wenye dhamana ya kwa umma daima tutamtumaini yeye usiku na mchana ili kusudi yale tuliwaahidi waTanzania kama Taifa, tuyatimize kwa wakati muafaka, sawa sawa na mapenzi yake...
Mungu Ibariki Tanzania,
Mbariki kiongozi wetu wa kitaifa Dr.Samia Suluhu Hassan afya njema na maisha marefu 🐒
kwamba wew ndio sasa utakua 'mungu' na ushirikina wako?🐒Kiyama kitakapo wasili utaulizwa uchafu ulio changia kuwaumiza waTanzania.
Ni binaadam mwenye kichaa pekee ndiye anayeweza kujitwisha hayo uliyojielezea hapo juu. Akili yako haipo sawa.
mwenye akili sawa mbona sasa unababaika tu, ni 'mungu' au Mungu?🤣Hakuna huyo Mungu asiyeipenda Tanzania, kiasi cha yeye kuwapa kiongozi mbovu kama huyo. Huyo unaye mzungumzia ni huyo aliyeko akilini mwako, akili ambayo ni dhahiri haipo sawasawa kama inavyoonyesha kila sehemu ya maandishi yako.